Zile ziara za nje ya nchi za rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan siku hizi zimeenda wapi?

Usicheke unacheka nn hapo ?
Na cheka kwa sababu jamaa niliyekaribia kumchomekea dushelele alikuwa mwalimu wa liturujia katika kigango chao.

πŸ˜…πŸ˜… Na nota anaijua haswa, lakini naye anpakuliwa minyama kumbe.
 
Nchi zimempiga marufuku kufika huko.akienda tu atakamatwa kama kuku wa mdondo maana the hague(ICC)imetoa waraka wa kumkamata ili afungwe kwa kuwateka na kuwaua wapigania haki kama vile hayati mdude au mzee kibao na wengine wengi tu.
Chadema mna matatizo ya akili
 
Asante kwa kutukumbusha, tutazianza wiki ijayo ili uje uwanja wa ndege kuona ndege zikiruka na kutua.
 
Urais ni taasisi kuuuuuubwa sana, Rais ana wasaidizi wengi sana wakubwa wakubwa ambao anaweza kuwatuma kwenda kumwakilisha kwenye maeneo mbalimbali, hivyo sio lazima yeye binafsi kufanya hizo ziara.
 
Urais ni taasisi kuuuuuubwa sana, Rais ana wasaidizi wengi sana wakubwa wakubwa ambao anaweza kuwatuma kwenda kumwakilisha kwenye maeneo mbalimbali, hivyo sio lazima yeye binafsi kufanya hizo ziara.
Kwani kipindi kile alipokuwa anasafiri kama bongo zozo hakuwa na hao watu ambao anaweza kumwakilisha?
 

NO REFORMS, NO ELECTION!
 
Kwani kipindi kile alipokuwa anasafiri kama bongo zozo hakuwa na hao watu ambao anaweza kumwakilisha?
Kwani wewe ni nani wa kumpangia Mh Rais lini asafiri na lini asisafiri ? Wapi aende mwenyewe na wapi aagize mtu mwingine kumwakilisha ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…