Zile ziara za nje ya nchi za rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan siku hizi zimeenda wapi?

Kuna Uzi nimeona wanasema kuna tetesi anataka kujichnganya aende Kenya ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Ilikuwa honeymoon ya kiti.
Saivi ametulia anapambana na maendeleo ya watu na vitu.
 
Akisafiri mnanuna, asiposafiri mnanuna, whatโ€™s wrong with you people ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„! October tunatick!
 
Hata hamweleweki nyie.
Akisafiri mnaandamana mitandaoni makele kama yote. Mara oooh Vasco da Gama.
Asiposafiri mnakonda tena.
Hivi ya NRNE mshamaliza?
Mbona wanaeleweka kabisa bali ni wewe tu hujawaelewa? Iko hivi: Magufuli alipofariki, Samia na wapambe wake walisema nchi ilikuwa imejitenga na inabidi ifunguliwe. Akaanza kiguu na njia. Watu wenye weledi wakamwambia kuwa hakuna japo rais kusafiri ni jambo zuri, lakini likizidishwa sana na kufanywa kama ndiyo njia pekee ya kuleta maendeleo, siyo sawa. Wapambe wake wakasema ni kila kitu ni kupinga. Haya fast foward safari hakuna tena... wataacha kuuliza? Sisi kanuni ni ile ile, safari anatakiwa kusafi kwa kiasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ