Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Kwanini Chadema mnaweka wagombea feki?Huyo ni mgombea fekii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini Chadema mnaweka wagombea feki?Huyo ni mgombea fekii
Je hawa watu tuwaonaje. Tutawaamini kweli? Tuoneeni hurumaMgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema leo amerejesha fomu za kugombea ZEC na kuahidi kuwa ataendelea na kinyang'anyiro hicho hadi siku ya uchaguzi October 28, 2020.
Source ITV habari!
Ili iweje? Maana Lyayonga sio mtu wa kumuiga kipumbavu.Lisu kafuata nyayo za Lyatonga Mrema kwa upande wa Zanzibar!
Usionyeshe ujinga (ignorance ni hali ya kutokujua, siyo tusi) wako hapa kwa kushangilia sana na vigelegele juu. Vyama lazima viwe na sura ya muungano. Hauwezi kusimamisha mgombea Urais sehemu moja ya Muungano halafu chama chako kikapata uhalali wa kuwepo kikatiba. Wanachoweza kufanya ni kuweka wagombea na kuamua baadae nani apigiwe kura wapi.
Je, ADC wana mgombea bara, vip CHAUMA huko Zanzibar
Siasa ni sayansi..Membe alichukua fomu kama Lissu angekatwa...CCM Act wazalendo wote wanampiga kura Lissu..Ndio maana Pemba Chadema hawajaweka mgombea jiongezeni kidogo..
Vyema kabisa. Kuna kile kimoja, chenye vidole viwili. Ka kikundi ka watu wachache, wamekigeuza hiko chama saccos yao. Wao kila kitu wanajua, matusi, kashfa, ila hata Sera Moja ya kuwasaidia watanzania hawana kuanzia mgombea uraisi hadi diwani wote porojo na majigambo tu. Watanzania tumeamua safari hii mkae bench.Hivi vyama vya upinzania vinahitaji mafundisho na afu viundwe upya.
Vinasema tu afu havitekelezi, Vinaahidi kushirikiana afu haviwezi kushirikiana.
Hadi hapo vimeshindwa kupata dila sahihi ya nini kifanyike.
Tuviache pembeni kwanza hadi vikomae kiuongozi.
Ha ha ha, I see. Kitaeleweka tu, mpaka October lazima tuongee lugha Moja.Aisee chadema wenzangu nyie ni wajinga sana, kwa hiyo pemba napo kuna uchaguzi wa raisi?
2015 chadema ilimsimamisha nani zanzibar au CUF ilimsimamisha nani bara?? Nyie watu ni wajinga sana
Kama na wewe ni mwanachadema basi kumbe chadema ina watu wajinga ambao hawajui hata kusoma na kuelewa kinachoandikwa! Sikujua kama na wewe ni chadema ila chadema ina watu!!!!Aisee chadema wenzangu nyie ni wajinga sana, kwa hiyo pemba napo kuna uchaguzi wa raisi?
Imeboresha miundombinu ya mawasiliano ndo maana wewe umeweza kuwa hapa kuwabezaKwani CCM imefanya nini la maana miaka zaidi ya 50
Hivi vyama vya upinzania vinahitaji mafundisho na afu viundwe upya.
Vinasema tu afu havitekelezi, Vinaahidi kushirikiana afu haviwezi kushirikiana.
Hadi hapo vimeshindwa kupata dila sahihi ya nini kifanyike.
Tuviache pembeni kwanza hadi vikomae kiuongozi.
Kamanda wa manyumbu umevurugwa[emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo nyie huwa mnataka Chadema tu ndo aachiwe, kwanini nyie msingeachia🤔? Chaajabu hata mkiungana sikuzote, nyie ndo mnataka msimamishe mgombea😂.Tatizo ni Zitto na huyo kimbunga kumbakumbaaaa wake AKA Membe
Labda funguo za Banda la tausi 😂😂Ni takwa la kisheria, CDM na ACT wanategua mitego yote mwaka huu, MATAGA jiandaeni kisaikolojia, iwe kwa amani au kwa shari mtakabidhi funguo za ikulu hapo november