Uchaguzi 2020 Zilongwa mbali zitendwa mbali CHADEMA yasimamisha mgombea Urais Zanzibar

Uchaguzi 2020 Zilongwa mbali zitendwa mbali CHADEMA yasimamisha mgombea Urais Zanzibar

Siasa ni sayansi..Membe alichukua fomu kama Lissu angekatwa...CCM Act wazalendo wote wanampiga kura Lissu..Ndio maana Pemba Chadema hawajaweka mgombea jiongezeni kidogo..
 
2015 chadema ilimsimamisha nani zanzibar au CUF ilimsimamisha nani bara?? Nyie watu ni wajinga sana
Usionyeshe ujinga (ignorance ni hali ya kutokujua, siyo tusi) wako hapa kwa kushangilia sana na vigelegele juu. Vyama lazima viwe na sura ya muungano. Hauwezi kusimamisha mgombea Urais sehemu moja ya Muungano halafu chama chako kikapata uhalali wa kuwepo kikatiba. Wanachoweza kufanya ni kuweka wagombea na kuamua baadae nani apigiwe kura wapi.
 
Hawa watu ni wajinga sana, roho inaniuma kuona kuna wanachadema wenzangu wajinga hivi.
Hajiulizi tu hata 2015 chadema ilimsimamisha nani zanzibar na CUF ilimsimamisha nani huku.
Hajuia na hataki kujua kua sio lazima chama kusimamisha mgombea sehemu zote mbili (bara na zenj) na ndio maana chadema 2015 hawakusimamisha mgombea zenj na hivyohivyo CUF hawakusimamisha mgombea bara
Je, ADC wana mgombea bara, vip CHAUMA huko Zanzibar
 
Aisee chadema wenzangu nyie ni wajinga sana, kwa hiyo pemba napo kuna uchaguzi wa raisi?
Siasa ni sayansi..Membe alichukua fomu kama Lissu angekatwa...CCM Act wazalendo wote wanampiga kura Lissu..Ndio maana Pemba Chadema hawajaweka mgombea jiongezeni kidogo..
 
Tatizo jasusi mbobezi kahamia upinzani kwa kazi maalum kuungana na Yuda Iskarioti Mbatia na Lipumba .
Screenshot_20200903-220625.png
 
Hivi vyama vya upinzania vinahitaji mafundisho na afu viundwe upya.

Vinasema tu afu havitekelezi, Vinaahidi kushirikiana afu haviwezi kushirikiana.

Hadi hapo vimeshindwa kupata dila sahihi ya nini kifanyike.

Tuviache pembeni kwanza hadi vikomae kiuongozi.
Vyema kabisa. Kuna kile kimoja, chenye vidole viwili. Ka kikundi ka watu wachache, wamekigeuza hiko chama saccos yao. Wao kila kitu wanajua, matusi, kashfa, ila hata Sera Moja ya kuwasaidia watanzania hawana kuanzia mgombea uraisi hadi diwani wote porojo na majigambo tu. Watanzania tumeamua safari hii mkae bench.
 
Jaman tufunge na kusali kuwaombea wapinzani waache ubinafsi, mashauri mgeni rasmi katika hayo maombi awe JPM.
 
Aisee chadema wenzangu nyie ni wajinga sana, kwa hiyo pemba napo kuna uchaguzi wa raisi?
Kama na wewe ni mwanachadema basi kumbe chadema ina watu wajinga ambao hawajui hata kusoma na kuelewa kinachoandikwa! Sikujua kama na wewe ni chadema ila chadema ina watu!!!!
 
Hivi vyama vya upinzania vinahitaji mafundisho na afu viundwe upya.

Vinasema tu afu havitekelezi, Vinaahidi kushirikiana afu haviwezi kushirikiana.

Hadi hapo vimeshindwa kupata dila sahihi ya nini kifanyike.

Tuviache pembeni kwanza hadi vikomae kiuongozi.

Muda wa kuungana haupo KISHERIA.

SHERIA, KANUNI NA TARATIBU KANDAMIZI.
 
Tatizo ni Zitto na huyo kimbunga kumbakumbaaaa wake AKA Membe
Kwahiyo nyie huwa mnataka Chadema tu ndo aachiwe, kwanini nyie msingeachia🤔? Chaajabu hata mkiungana sikuzote, nyie ndo mnataka msimamishe mgombea😂.
Na Kama mnaviona vyama vingine havina nguvu,kwanini msipambane tu ili mshinde bila kutegemea hizo mbeleko za kuungana.?
 
Ni takwa la kisheria, CDM na ACT wanategua mitego yote mwaka huu, MATAGA jiandaeni kisaikolojia, iwe kwa amani au kwa shari mtakabidhi funguo za ikulu hapo november
Labda funguo za Banda la tausi 😂😂
 
Back
Top Bottom