Zimbabwe Vs Tanzania : Full Time Zimbabwe 3 Tanzania 0

Zimbabwe Vs Tanzania : Full Time Zimbabwe 3 Tanzania 0

Huyu Mkwasa kocha wa hovyo kabisa..Mechi ya kirafiki utadhani mashindano...Zimbabwe pamoja na kushinda wamefanya sub 3 so far..Yeye anang'ang'ania wachezaji hawahawa badala ya kujaribu wengine...

Tutapigwa 5 leo
 
Mie pia nimejiuliza hilo swali. Naona sasa ndio anafanya
 
hii ni aibu....kuna haja ya kutembeza bakora kwa vijana wakirudi!

line-up ya Stars leo ni ipi?
Kuna kipa Manula beki Dante,Nyoni,Tshabalala,Aidani,viungo himid mao,Mudathir Winga Msuva,Farid forward sammata,Maguri
 
Huyu Boniphace Mkwasa afukuzwe.
Haiwezekani tokea Maximo au Paulson watoke hutupigi hatua!!!

Africa hatuna uwezo wa kufundishana mpira. Tukubali tu wazungu watufunze.

Huyu Mkwasa ndio bureeee!!!@
 
Zimbabwe wapo very active utadhani kuna kombe, taifa stars tutacheza kwa mnato sana.... Tumezoea kupigwa
Ni game za Fifa.

Watapanda Viwango wakati tutazid kuporomoka mpaka karibia na Miamba ya Kuchimba Mafuta
 
Sammata naye hayuko kwenye kiwango kabisa
Anashuka sana, sasa tukipanda unakuta yupo Maguri peke yake kule mbele, mbaya zaidi akipoteza mpira kama anachukia hiv, so anajikuta anatoka mchezoni!! Hiyo kazi angemwachia Kichuyaapandishe team, yeye asaidiane na Maguri kutafuta goli.
 
Back
Top Bottom