Utajiri gani ule wa kuwaibia masikini?Kweli umaskini ni laana, maskini ana roho mbaya sana! Watu wanafurahia kifo cha kijana wa watu Mzimbabwe amewakosea nini? Hizo chuki ni aibu, ni roho ya kishetani. Km we ni maskini ndiyo umchukie tajiri?
Dah submission sio watu wanatuma makombora kama TAL 😂
YU betta wochi yua back 😂Natamani nigepata hata dolla laki 1 tu anisaidie huyu mwamba
Shost atakwenda kuhani?
Yule boss wa Wagner ilikuwa kama movieKama ni kweli jamaa kuna waya ali kanyaga kama bosi wa wagner
Usishhangae kuambia ni man madeMisiba miwili mikubwa ndani ya miezi michache
tycoon is goneSerikali ya Zimbabwe (kupitia msemaji mkuu Nick Mangwana) imethibitisha kuwa leo jioni, Septemba 30, 2026, helikopta iliyokuwa na watu 6 (mfanyabiashara mashuhuri, abiria wengine, na marubani wawili) imeanguka katika eneo la Marondera na hakuna aliyepona.
Mamlaka na vyombo vya habari nchini Zimbabwe na kimataifa vimethibitisha kuwa mfanyabiashara huyo ni Wicknell Chivayo, na alikuwa ameambatana na mke wake (Lucy "Lulu" Muteke) pamoja na watu wengine waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo.
Chivayo alikuwa mfanyabiashara mwenye ushawishi mkubwa nchini Zimbabwe na alifahamika pia kwa ukaribu wake na viongozi na watu mashuhuri barani Afrika, pamoja na shughuli zake za kutoa misaada na michango mbalimbali. Ripoti za hivi karibuni zimeeleza kuhusu uhusiano wake wa karibu na viongozi wa kisiasa na kidini nchini Zimbabwe.
Soma Pia:
nimemsikia DAB anasema anatakakuwashindanisha watumishi wa Mungu na wachawi ili atoe tuzoHuwezi kuchangamana na Shetani halafu ukawa salama, Mungu siyo fala
Hili ni fundisho kwa Mamluki wengine
tunasubiri hat-trick kabla mwaka haujaisha,tumuombee doumbia awe na utulivu ndani ya 18 tumechoka na off targetHii habari naomba iwe kweli
itakuwa double kick kwa bi chura!
Aongezewe Eda?Habari mbaya hii kwa mama yenu.
Nasikia jamaa ndo anatarajiwa kumuwowa bibie aliyeko eda.
Hii ndo ile mwanamke anamuua mmewe ili aolewe na mwanaume mwingine, huyu mwanaume mwingine anarejea tena kwa mola wake 🥲
PastorSerikali ya Zimbabwe (kupitia msemaji mkuu Nick Mangwana) imethibitisha kuwa leo jioni, Septemba 30, 2026, helikopta iliyokuwa na watu 6 (mfanyabiashara mashuhuri, abiria wengine, na marubani wawili) imeanguka katika eneo la Marondera na hakuna aliyepona.