TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

 

Attachments

  • FB_IMG_1789136148044.jpg
    91 KB · Views: 12
Pole mama sa100 kwa kuondokewa na mme wako.
Eda nyingine tena kwa sa100
 
Haya mambo! Kuna uzi humu kwamba ndege from Dar to Dodoma imeshindwa kupaa na kurejea uwanjani, fortunately salama. Coincidentally, imetokea Zimbabwe na kuua billionaire maarufu.

Ewe Mungu nini haya mambo? Na maana yake ni nini? Tupe roho ya kuzitambua nyakati na kuzihesabu siku zetu. Amen.
 
Damu za watu zimeanza kumuandama, naona wanapukutika pole pole.



Marehemu wapumzishwe wanapostahili 🪦
 
 

Attachments

  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 13
  • FB_IMG_1789136148044.jpg
    91 KB · Views: 12
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…