LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Hiyo miaka ya 90 mzee baba.
Nakumbuka mwaka 94 nikiwa darasa la tatu kuna jamaa mmoja alikuwa kampangishia mchepuko wake nyumbani kwetu then mchepuko ukazingua, jamaa siku hiyo alikuja zake na pick up yake ya kukodi akachukua vitu vyote alivyomnunulia yule mchepuko pamoja na vingine kwa ajili ya kuuza ili kufidia gharama zake.( jamaa alikuwa mtu kutoka kanda maalumu)
Nikasema nikija kuwa mkubwa Mimi nitakuwa kama huyu jamaa wa kanda maalumu. He nimekuwa mkubwa naona tena mambo hayo hayapo.
Watu wanajenga mpaka ukweni na wanazinguliwa halafu hawadai Mali zao. Demu anakunywa bia zako bar halafu haondoki na wewe mwee!!
Zimeenda wapi nyakati hizi ?