Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Mnavoviona vya bure navo vina gharama zakeMkuu za kuambiwa changanya na zako..au umesahau kuna watu wana akil za kuzaliwa?
Mnavyolipia sis wengine tunatumia bureeeeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnavoviona vya bure navo vina gharama zakeMkuu za kuambiwa changanya na zako..au umesahau kuna watu wana akil za kuzaliwa?
Mnavyolipia sis wengine tunatumia bureeeeeee
Ila we utelezi unaomba sio?!!Sipendi mno kuombwa hela in the name of love..Yan hata kama huna nia mbaya huwa naona kama una take advantage ya mbususu kitu ambacho hata siku 1 siwezi kukubaliana nacho.
Kwa kifupi sipend sana kuombwa ombwa hela.Nachukia sana.
NB
Hata hivyo sina hela
Sasa mkiachana utamnyang'anya nini 😃😃
Mnachonishangazaga wanawake, huku jf na mtaani mnadai mnapenda kupewa hela na mwanaume (kuhudumiwa), ili mahusiano yaanze na yaendelee kuwa imara, ila kuna wanaume ambao tangu muanze ku-date nao hawajawahi kuwapa hata TSH 50 mbovu, na mnawapelekea papuchi kila siku, bila kuwaomba hela..Siku hizi na sisi tumekuwa wajanja. Hatuombi like “babe naomba ninunulie kitanda “ au kitu chochote.. sisi tunaomba tu hela halafu tutakachonunua huwezi kujua.
Nyie wadada si kuna baadhi ya wanaume mnawapa utelezi wa bure sio? Evelyn SaltIla we utelezi unaomba sio?!!
Naomba Hannah anijibie na mimi piaMnachonishangazaga wanawake, huku jf na mtaani mnadai mnapenda kupewa hela na mwanaume (kuhudumiwa), ili mahusiano yaanze na yaendelee kuwa imara, ila kuna wanaume ambao tangu muanze ku-date nao hawajawahi kuwapa hata TSH 50 mbovu, na mnawapelekea papuchi kila siku, bila kuwaomba hela..
Yaani kwa kifupi mna wanaume wa kuwaomba hela, na kuna wanaume mnawapa papuchi za bure Leejay49 Hannah
Umesema baadhi lakini🤣Nyie wadada si kuna baadhi ya wanaume mnawapa utelezi wa bure sio? Evelyn Salt
Mimi nilipie kitu Ambacho unampa bure mwanaume mwenzangu daah Evelyn SaltUmesema baadhi lakini🤣
Ndio.Nimesema hapo mkishalipia nyie sis mnakua pia mmetu consider so tunateleza navyoMnavoviona vya bure navo vina gharama zake
Ndio.Nimesema hapo mkishalipia nyie sis mnakua pia mmetu consider so tunateleza navyoMnavoviona vya bure navo vina gharama zake
Huyo dada nae mjinga kwan hivyo vitu alipewa bure lazima kuna kitu alimpa jamaa ndio na jamaa akamnunulia hvyo vitu
Utelezi siombi.Napewa tu .wenyewe wananileteaIla we utelezi unaomba sio?!!
sasa kama keivoo ni wa maana si angemnunulia n mavitu hayo[emoji16][emoji16].Tukio kama hilo lilitokea Arusha kabla sijahamia mkoa mwingine. Alikua jamaa yetu kampangishia mchepuko nyumba kila kitu alinunua jamaa yetu na mkataba wa nyumba aliingia yeye na mwenye nyumba.
Jamaa yetu akapata ushahidi kua mchepuko anatembea na jamaa mwingine tena anakuja nae kwenye nyumba ileile. Jamaa baada ya kupata ushahidi bila chenga akavizia yule dada kaenda kazini akaenda kuchukua lorry mbili akahamisha kila kitu kwa msaada wa macharii wa "R" alafu funguo akarudisha kwa mwenye nyumba. Vile vitu akapeleka kwenye stoo ya ofisi yake. Jamaa ana stoo kubwaa ya vifaa vya ujenzi.
Tumekaa saluni mitaa ya sakina tunamuona yule mchepuko anakuja kumuliza jamaa. Jamaa kanyamaza tu. Jamaa mwingine ndo akaropoka we ushaachwa nenda kwa jamaa ako keivooo watu wakaanza kucheka ilikua aibu ya mwaka adi wadada wa saluni wakaanza kucheka. Macharii ya Arusha washapangwa wakazuia IST aliyokuja nayo maana pia alinunua jamaa yetu. Yule dada alivuka barabara bila kusema kitu anaishia kwa ngondi. Lile tukio nitalikumbuka siku zote.
watoto walikuwa wanasoma English Medium? So ilikuwaje baada ya hapo?mimi nilipanga na mama mmoja ana watoto wawili wa kiume na kike kama wa darasa la 6 hivi,siku anahamia alikuja na kitanda kimoja tu,mara ikaingia double deker kwa ajili ya hao watoto,tv,hatujakaa sawa sabufa kubwa na jiko la gesi.
ghafla ikaja njemba iko tough hivi,tetesi zikasema inatokea zanzibari ndiko inafanyia kazi,siku inaingia pale ikashuka na fridge na pasi nk,kwa namna madogo walivyompokea tukajua atakuaa ndiye baba yao,maisha yakaendelea jama aje mwezi huu,mara asije hivyo.
yule dada alikuwa na mambo kidogo hayaeleweki,muda mwingi sana utakuta anatengeneza kucha,nywele nk sio mtu wa kazi kazi kabisa,ni kupika,kula kutoka akirudi kulala.
kikaanza kuingia kijamaa flani mule ndani,lakini wake zetu wakatambulishwa ni mjomba(kaka wa huyo dada)mara kwa mara,kanakuja kanaweza kaa ndani humo mnasikia sauti ya tv mnapuuza maana ni mjomba[emoji23][emoji23].
eeeeeh,siku ya siku tunashangaa ile njemba imetimba kwa kushtukiza,yule mjomba na dada yake wametoka kama mshale shwaaaaaaaaa,bidada kashikilia kanga na kijana amevaa pensi na tishirt kashilikia mkononi,dada kilio na full kujitetea NISAMEHE,tukabaki kama mapaka hatuelewi kipi ni kipi,mara mwamba kaanza kufoka"mwanamke mshenzi saba wewe,huna shukrani,nakuhifadhi na watoto wako bado unanisaliti",ndio sisi kujua kumbe wale sio wanaye[emoji3525][emoji3525][emoji3525].
baharia bana kumbe alikuwa maanajeshi huko zenji,sijui kidada kilimroga maan kibovu tu hakina maajabu,akaita gari ikabeba kila kitu,watoto wanarudi mchana toka shule wanashangaa ndani kweupeee,mama kaduwaa hajui awaeleze nini.
ilikuw simanzi na fadhaa kwa wakati mmoja.
Mkuu mbona unalalamika haya mambo mnayatakaga wenyewe ninyi wenyewe hamko fair kwa wanawake, ndio maana kuna wanaume wengine wanapata wanawake wanaokubali kuanza nao from the scratch, ila wakifanikiwa wanatumia hela na gold diggers wengine ambao hata hawawapendi wanafuata tu hizo helaMnachonishangazaga wanawake, huku jf na mtaani mnadai mnapenda kupewa hela na mwanaume (kuhudumiwa), ili mahusiano yaanze na yaendelee kuwa imara, ila kuna wanaume ambao tangu muanze ku-date nao hawajawahi kuwapa hata TSH 50 mbovu, na mnawapelekea papuchi kila siku, bila kuwaomba hela..
Yaani kwa kifupi mna wanaume wa kuwaomba hela, na kuna wanaume mnawapa papuchi za bure Leejay49 Hannah
hapana shule za kawaida tu za kurudis aa kumi,bidada ilibidi aondoke siku mbilu mbele maana hakuwa na sera tena.watoto walikuwa wanasoma English Medium? So ilikuwaje baada ya hapo?