Zimeenda wapi nyakati zile ambazo ukiachana na mwanamke unampokonya vitu vyako vyote ulivyompa?

Zimeenda wapi nyakati zile ambazo ukiachana na mwanamke unampokonya vitu vyako vyote ulivyompa?

Mkuu kwa dunia ya sasa kama hupendi kuombwa hela basi tulia tu na mwanamke mmoja tatizo lenu wanaume wa kiafrika starehe mnataka ila gharama hamtaki, wakati starehe na gharama ni pande mbili za sarafu moja huwezi kuchagua kimoja ukaacha kingine ni either uchague vyote au uache vyote, you can't have your cake and eat it
Nimekupa zawadi ya Bahari ya Hindi utaamua ufugie Samaki au ufanye kivutio cha utalii, sasa vipi umeshakubari? Usiniambie habari za hela Mimi nakupa plot za Mungu tu
 
Tukio kama hilo lilitokea Arusha kabla sijahamia mkoa mwingine. Alikua jamaa yetu kampangishia mchepuko nyumba kila kitu alinunua jamaa yetu na mkataba wa nyumba aliingia yeye na mwenye nyumba.

Jamaa yetu akapata ushahidi kua mchepuko anatembea na jamaa mwingine tena anakuja nae kwenye nyumba ileile. Jamaa baada ya kupata ushahidi bila chenga akavizia yule dada kaenda kazini akaenda kuchukua lorry mbili akahamisha kila kitu kwa msaada wa macharii wa "R" alafu funguo akarudisha kwa mwenye nyumba. Vile vitu akapeleka kwenye stoo ya ofisi yake. Jamaa ana stoo kubwaa ya vifaa vya ujenzi.

Tumekaa saluni mitaa ya sakina tunamuona yule mchepuko anakuja kumuliza jamaa. Jamaa kanyamaza tu. Jamaa mwingine ndo akaropoka we ushaachwa nenda kwa jamaa ako keivooo watu wakaanza kucheka ilikua aibu ya mwaka adi wadada wa saluni wakaanza kucheka. Macharii ya Arusha washapangwa wakazuia IST aliyokuja nayo maana pia alinunua jamaa yetu. Yule dada alivuka barabara bila kusema kitu anaishia kwa ngondi. Lile tukio nitalikumbuka siku zote.
Mods naomba hii comment iprintiwe alafu ifanyiwe lamination then iwekwe JamiiForums HQ
 
Siku hizi na sisi tumekuwa wajanja. Hatuombi like “babe naomba ninunulie kitanda “ au kitu chochote.. sisi tunaomba tu hela halafu tutakachonunua huwezi kujua.
Au sio alafu unaomba ukiwa unafanya nini ukiwa umekaa mkao wa popo kanywa Mbingu au?
 
Sipendi mno kuombwa hela in the name of love..Yan hata kama huna nia mbaya huwa naona kama una take advantage ya mbususu kitu ambacho hata siku 1 siwezi kukubaliana nacho.

Kwa kifupi sipend sana kuombwa ombwa hela.Nachukia sana.

NB
Hata hivyo sina hela
MRusi wa mchongo uko sahihi, hata mimi sipendi kuombwa hela 🤓😆
 
giphy (2).gif
 
Siku hizi na sisi tumekuwa wajanja. Hatuombi like “babe naomba ninunulie kitanda “ au kitu chochote.. sisi tunaomba tu hela halafu tutakachonunua huwezi kujua.
Mwanaume mwenye tabia ya hivyo atakutemesha atachokukuta nacho
 
Mkuu kwa dunia ya sasa kama hupendi kuombwa hela basi tulia tu na mwanamke mmoja tatizo lenu wanaume wa kiafrika starehe mnataka ila gharama hamtaki, wakati starehe na gharama ni pande mbili za sarafu moja huwezi kuchagua kimoja ukaacha kingine ni either uchague vyote au uache vyote, you can't have your cake and eat it
Yani uchi wa bleed nni starehe au uchafu?
 
Saiv nagonga mademu tu wanaonpenda na wale wenye shobo basi
 
Niombe radhi kwa kuwa nje ya mada kidogo, nimeona sio mbaya nikiwapa huduma itayotusaidia kua online mda mwingi na kufaidi mambo mengi ya mtandaoni ikiwemo hapa, kwa gharama ndogo sana

KWA WATUMIAJI WA TIGO KUNA BANDO NAFUU SANA(T!G0 P0STPA!D), UKIJIUNGA MIAKA MIWILI MIZIMA UTAKUA UMEOKOA HELA NYING UNAYOTUMIA KWAAJIL YA DATA NA DAKIKA.

UTAKUA UNAPEWA GB&DAKIKA NYINGI KILA TAREHE 1, THEN UNALIPIA HELA SIKU YOYOTE, NA UNAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO!!

SH 30K GB 35 KILA MWEZ KWA MIAKA MIWILI

SH. 40K GB 48 KILA MWEZ KWA MIAKA MIWILI.
SH. 60K GB 72 KILA MWEZ KWA MIAKA MIWILI.
MALIPO YOTE UNAFANYA DIRECT KWENDA T!G0 HUNITUMII HATA MIA! (mm unanipa NO. yako tuu kwajili ya activation, nikiku activate nalipwa commission na T!G0)


UZURI ZAID NI KUA SAHIVI HUTAWEKWA KWENYE KIKUNDI CHA WATU, UNAKUA PEKE YAKO, SO HUWEZ KUPATA USUMBUFU WOWOTE!

Karibuni sana!!!

NIPIGIE AU NITEXT WHATSAPP KWA : 0717700921
Ungeanza na matajiri
 
Back
Top Bottom