Zimeenda wapi nyakati zile ambazo ukiachana na mwanamke unampokonya vitu vyako vyote ulivyompa?

Zimeenda wapi nyakati zile ambazo ukiachana na mwanamke unampokonya vitu vyako vyote ulivyompa?

Au sio alafu unaomba ukiwa unafanya nini ukiwa umekaa mkao wa popo kanywa Mbingu au?
Mimi ni lover boy nishachakaza wanawake si chini ya 5000 sasa mwanamke ata apige sarakasi zote sisikii utamu wakunifanya nijihisi tofauti au nifanye mambo ya kipuunzi nikiwa na mwanamke isipokuwa nafanya kutimiza wajibu tu afu naona kawaida sana.[emoji1666]
 
Chanzo cha wanawake kuingiliwa kinyume na maumbile (mkunduni) ni tamaa ya pesa
 
Sipendi mno kuombwa hela in the name of love..Yan hata kama huna nia mbaya huwa naona kama una take advantage ya mbususu kitu ambacho hata siku 1 siwezi kukubaliana nacho.

Kwa kifupi sipend sana kuombwa ombwa hela.Nachukia sana.

NB
Hata hivyo sina hela
Masikini..fukura..pengu pakavu...apeche alolo.

.....BROKE ASS NIGGQ
 
unataka utafute kifo.
Kuna jamaa alishwai kwenda kuchukua vitu vyote alivonunua kilichompata anasema bora kugongwa na reli ya umeme iliyokosa umeme
 
Wanawake huwaga mna ile kususa na ego like chukua vitu vyako bana kwani sh ngapi? He capitalized on that. Ilishanikuta kama hivyo nilikuwa na demu mmoja way back in 2008 alikuwa demu wa kihaya mzuri kama mnyarwanda anaringa hatari watu walikuwa wanamuogopa Mimi nikamtokea akanikubalia . Nilikuwaga nampa mpa vizawadi na vivocha vya hapa na pale. Siku tuliyo mwagana nikazungumzia tu kama kuzungumzia kuhusu gharama nilizo wahi kumpa akaniambia" piga hesabu ya vihela vyako vyote ulivyo wahi kunipa" nikamwambia Laki 2, demu akaniambia twende bank tukaenda aka draw hela analipa nikapokea
Yaaani laki mbili ndo inakutoa roho
..hahaha LIKUD ...you are poor bro
 
Mimi nilimpokonya kila kitu Hadi nguo zake za ndani
Sitakagi ujinga Mimi.
 
Kwani nyie hizo K zenu mlinunua bei gani kuzipata ili muuze mpate faida?
Nakupa homework, tafuta jibu kwanini mwanamke na mwanaume wakiwa kwenye mahusiano kisha wakaachana anayesimangwa ni mwanamke huku mwanaume akisifiwa, ukipata jibu la hili swali basi utakuwa umepata na jibu la hilo swali lako
 
Yani uchi wa bleed nni starehe au uchafu?
Siku mkipata pengine pa kumwagia hayo matakataka yenu, na mkiacha kufanya mambo ya ajabu kisa huo huo uchi ndio mje muongee hivi, nonsense
 
Hiyo miaka ya 90 mzee baba.

Nakumbuka mwaka 94 nikiwa darasa la tatu kuna jamaa mmoja alikuwa kampangishia mchepuko wake nyumbani kwetu then mchepuko ukazingua, jamaa siku hiyo alikuja zake na pick up yake ya kukodi akachukua vitu vyote alivyomnunulia yule mchepuko pamoja na vingine kwa ajili ya kuuza ili kufidia gharama zake.( jamaa alikuwa mtu kutoka kanda maalumu)

Nikasema nikija kuwa mkubwa Mimi nitakuwa kama huyu jamaa wa kanda maalumu. He nimekuwa mkubwa naona tena mambo hayo hayapo.

Watu wanajenga mpaka ukweni na wanazinguliwa halafu hawadai Mali zao. Demu anakunywa bia zako bar halafu haondoki na wewe mwee!!

Zimeenda wapi nyakati hizi ?

View attachment 2750187
huyu mzee wangu ( WA KANDA MAALUM) alimfungulia demu retail shop, usiku mmoja akakuta mchepuko naye kaleta mchepuko
mzee akarudi kimyakimya ,kesho yake tukashangaa anaingia home na pick up imejaa mavitu ya dukani tukashusha mizigo stoo tukatumia hadi vikaisha
 
Back
Top Bottom