Zimeenda wapi nyakati zile ambazo ukiachana na mwanamke unampokonya vitu vyako vyote ulivyompa?

Siku hizi na sisi tumekuwa wajanja. Hatuombi like “babe naomba ninunulie kitanda “ au kitu chochote.. sisi tunaomba tu hela halafu tutakachonunua huwezi kujua.
Duuuuu,niliombwa nikauliza ni wapi mara magharibi,mashariki,nikatengeneza matukio,na yeye akalipiza kisasi,kila kitu kikaisha kama comedy.Wala sikumla miaka huku najua kabisa anatoka na nani,akuoiza kwani unataka nini nikajibu Kazi ni kukushawishi,nikipiga simu namskia yuko na mtu kwenye gari na bado navuta muda,mizinga ikapungua lakini hakutaka marriage alitaka money heist,kila kitu kimeisha ingawa kweli manzi yuko moyoni mpaka saa hii. Kizazi hiki bila referee wa kuamua hatutoboi mizinga kama ya uapishwaji wa Rais,no way.
 
Unaambiwa huyo mchepuko alikua ni mrembo hasa yaani ni mrembo sana. Sasa jamaa etu ni mfanya biashara nikitaja jina tu hapa watu wa Arusha wanaweza kumjua. Yule mchepuko akawa anatoka na msela mmoja mfanyakazi mwenzie. Dada ni mtumishi sehemu X. Jamaa etu akamtafuta yule jamaa kutumia watu wakamletea taarifa akagundua ni kijana mdogo singo hajaoa akaamua kumuacha tu lakini yule dogo anaekula mchepuko wa mtu hakuwahi kujua kama kuna watu walimfatilia. Ila Arusha ni kama Afghanistan
 
sasa kama keivoo ni wa maana si angemnunulia n mavitu hayo[emoji16][emoji16].

aende kwa keivoo sasa.
Unaambiwa huyo keivoo hajui kinachoendelea maana jamaa etu alitaka kutuma wazee wa kazi kwa Keivoo watu walimsihi sana ndo akaacha. Nawakumbusha vijana ukikutana na mwanamke mzuri ana kila kitu alafu kazi yake ina mshahara mdogo au hana kazi akikuambia yuko singo basi ujue huyo ni mchepuko wa matajiri. Kimbia hapo broo labda kama umechoka maisha
 
Hahahhaaa
 
Duh!Aisee 🤔
 
Ckuiz tumekuwa magentlemen huwa tunapotezea tu.Ukizinguana na demu mkaachana unamuachia kila kitu ulichompa na kuanza upya.
 
Huyo ni miongoni mwa wanaume wa shoka,

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Youtube, wasap na aina yake hazikuwepo ,utafanya sahizi sekunde TU nchi Zima masela wakowote washajua
 
Hao ni wale ambao sisi tunavuja jasho,wao wanavizia tunavyowapa mademu.Ila mwisho ni mbaya.
 
Just imagine kila mwanaume angekua anaombwa hela,si wangekua wengi wao ni matajiri?
Imagine kuanzia aliyemtoa bikra,hadi miaka 40,si mamilioni?
 
Hapo niwaachie mjadala ninyi ambao hutoa vitu vinavyofaa kudai maana mimi sasa ntadai underwear yake nipeleke wapi sasa kama sio ushirikina.
 
Siku hizi na sisi tumekuwa wajanja. Hatuombi like “babe naomba ninunulie kitanda “ au kitu chochote.. sisi tunaomba tu hela halafu tutakachonunua huwezi kujua.
[emoji28][emoji28][emoji119]
 
Yani haiwezekani umnunulie mchepuko vitu vyote hivyo wakati siyo mkeo, na si ajabu mkeo hujawahi hata mnunulia au umemnunulia vichache tu, na hayo ndio malipo yake sasa
Raha ya kukojoa penye Joto raha sana akili yote inahama unagawa mpaka Bahari

Jadda nimekuzawadia Mbingu na Ardhi vipi umekubari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…