Fedha zote zinatoka Tanganyika.Ukiangalia television na kusikiliza redio na hata kusoma magazeti utapata habari za miradi mikubwa mikubwa ikifunguliwa kila siku Zanzibar. Miradi hiyo ni kama vile barabara, shule za ghorofa, viwanjwa vy michezo, masoko ya ghorofa, majengo makubwa, viwanda, miradi ya nishati, flyovers, na kadhalika.
Kwa uchumi mdogo wa Zanzibar huwa najiuliza fedha za kujenga miundombinu mikubwa na mingi hivyo kwa muda mfupi tu wa miaka miwili mitatu zinatoka wapi?
Ukimwita mzanzibar anatoka Tanzania Visiwani anaweza kukupopoa mawe mchana kweupe.Tanzania bara
Zinachotwa kwa wajinga bara, kama anaweza kuwapa Taifa star 700M anashindwa nini kupeleka kwao 20B?Ukiangalia television na kusikiliza redio na hata kusoma magazeti utapata habari za miradi mikubwa mikubwa ikifunguliwa kila siku Zanzibar. Miradi hiyo ni kama vile barabara, shule za ghorofa, viwanjwa vy michezo, masoko ya ghorofa, majengo makubwa, viwanda, miradi ya nishati, flyovers, na kadhalika.
Kwa uchumi mdogo wa Zanzibar huwa najiuliza fedha za kujenga miundombinu mikubwa na mingi hivyo kwa muda mfupi tu wa miaka miwili mitatu zinatoka wapi?
After 10 years Zanzibar itakuwa kama DubaiHela zinatoka Tanganyika Sheikh! Yaani yale makodi na matozo tunayokamuliwa kila mwezi, sehemu yake ndiyo inapelekwa huko. Na wakikuona tu Mtanganyika unahoji au kulalamika; unatekwa faster na kupotezwa.
Hili nalo neno.Hela zinatoka Tanganyika Sheikh! Yaani yale makodi na matozo tunayokamuliwa kila mwezi, sehemu yake ndiyo inapelekwa huko. Na wakikuona tu Mtanganyika unahoji au kulalamika; unatekwa faster na kupotezwa.
Mta uliza sanaUkiangalia television na kusikiliza redio na hata kusoma magazeti utapata habari za miradi mikubwa mikubwa ikifunguliwa kila siku Zanzibar. Miradi hiyo ni kama vile barabara, shule za ghorofa, viwanjwa vy michezo, masoko ya ghorofa, majengo makubwa, viwanda, miradi ya nishati, flyovers, na kadhalika.
Kwa uchumi mdogo wa Zanzibar huwa najiuliza fedha za kujenga miundombinu mikubwa na mingi hivyo kwa muda mfupi tu wa miaka miwili mitatu zinatoka wapi?
Aisee!Mta uliza sana
Kama sherehe za kiserikali Bara zina futwa lakini Zanzibar zina fanyika, hamji ulizi kama mmesha kuwa watumwa wa Zanzibar?
Duh!Hela zinatoka Tanganyika Sheikh! Yaani yale makodi na matozo tunayokamuliwa kila mwezi, sehemu yake ndiyo inapelekwa huko. Na wakikuona tu Mtanganyika unahoji au kulalamika; unatekwa faster na kupotezwa.
Tanganyika wanazubaishwa kwa pesa za magoli ya Simba na Yanga.Ukiangalia television na kusikiliza redio na hata kusoma magazeti utapata habari za miradi mikubwa mikubwa ikifunguliwa kila siku Zanzibar. Miradi hiyo ni kama vile barabara, shule za ghorofa, viwanjwa vy michezo, masoko ya ghorofa, majengo makubwa, viwanda, miradi ya nishati, flyovers, na kadhalika.
Kwa uchumi mdogo wa Zanzibar huwa najiuliza fedha za kujenga miundombinu mikubwa na mingi hivyo kwa muda mfupi tu wa miaka miwili mitatu zinatoka wapi?
Je Nyerere alifanya hivyo kwa makusudi au kukosa utashi wa akili ?Fedha zote zinatoka Tanganyika.
Rais wa Tanganyika ni Mzanzibar.
Rais wa Zanzibar ni Mzanzibar.
Mwl Nyerere alituachia katiba mbaya kuliko katiba zote Duniani.
Zanzibar tungekuwa tunawapa hela kadiri ya makubaliano, leo wangeukuwa kama ParisAfter 10 years Zanzibar itakuwa kama Dubai
Unajua mirathi ya sultan ni mpaka nyumba nyeupe, BoT, Yan majengo yote yanayofanana na sultan arctechuture ni mali zake alizozi azinsha sultan 😂Labda ni mirathi ya yule Sultan ntajuaje mimi