Zinatoka wapi pesa zinazotumika kujenga miradi mikubwa na mingi inayofunguliwa kila siku Zanzibar?

Unajua mirathi ya sultan ni mpaka nyumba nyeupe, BoT, Yan majengo yote yanayofanana na sultan arctechuture ni mali zake alizozi azinsha sultan 😂
Ilikuwa tuomboleze sasa
Halafu mkakaa kimya tu vibaya hivyo
 
Je Nyerere alifanya hivyo kwa makusudi au kukosa utashi wa akili ?
Ukimsoma Mwl Nyerere utagundua sifa anazomiminiwa nyingi zimetiwa chumvi nyingi.

Mwl Nyerere kakosea mambo mengi sana labda niyataje machache.

Mosi, Muungano ambao si muungano kiuhalisia.
Muungano ambao umeiua Tanganyika ukaibakiza Zanzibar.
Muungano ambao Mzanzibar ana haki zote za muungano yaani Tanganyika na Zanzibar lakini Mtanganyika ana haki Tanganyika akienda Zanzibar hana haki.

Pili, Masuala ya Ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika.Tanganyika ilitumia rasilimali zake nyingi na kuacha kuiendeleza Nchi.Sioni faida zozote za maamuzi hayo sana sana Mwl Nyerere kujipatia sifa na utukufu ambao haumsaidii mwananchi wa kawaida.

Tatu,Siasa za ujamaa ziliturejesha nyuma kiuchumi na kijamii.

Nne, Vita ya Kagera ingeweza kuepukwa kabisa kama Mwl angeacha kuwafadhili marafiki zake Obote.....

Tano,Mwl Nyerere alitengeneza katiba mbaya ya kumtukuza yeye na kumfanya mtukufu au Mungu wa nchi.Katiba hii aliyotuachia inatuumiza mpaka kesho.
 
Ukiangalia television na kusikiliza redio na hata kusoma magazeti utapata habari za miradi mikubwa mikubwa ikifunguliwa kila siku Zanzibar. Miradi hiyo ni kama vile barabara, shule za ghorofa, viwanjwa vy michezo, masoko ya ghorofa, majengo makubwa, viwanda, miradi ya nishati, flyovers, na kadhalika.

Kwa uchumi mdogo wa Zanzibar huwa najiuliza fedha za kujenga miundombinu mikubwa na mingi hivyo kwa muda mfupi tu wa miaka miwili mitatu zinatoka wapi?

Inaonekana wakati wanachukua fedha ni siri kubwa hufichwa, ila wakati wanafungua miradi siri hizo zinafichuka zote!
Samia ni kama Magufuli, pesa zinachotwa Tanganyika kwenda Zanzibar ila yeye kamzidi magu sababu anakiuka katiba ya nchi
 
Ukiangalia television na kusikiliza redio na hata kusoma magazeti utapata habari za miradi mikubwa mikubwa ikifunguliwa kila siku Zanzibar. Miradi hiyo ni kama vile barabara, shule za ghorofa, viwanjwa vy michezo, masoko ya ghorofa, majengo makubwa, viwanda, miradi ya nishati, flyovers, na kadhalika.

Kwa uchumi mdogo wa Zanzibar huwa najiuliza fedha za kujenga miundombinu mikubwa na mingi hivyo kwa muda mfupi tu wa miaka miwili mitatu zinatoka wapi?

Inaonekana wakati wanachukua fedha ni siri kubwa hufichwa, ila wakati wanafungua miradi siri hizo zinafichuka zote!
Zinaletwa na maji ya Bahari ya Hindi.
 
Mwinyi ana hela wewe, zote zile pesa zake
 
Z8natoka Tanganyika kwa wadanganyika. Tungekuwa intelligent unit yenye kujuwa kazi yake magufuli na Samia wasinge chezea kodi za watanganyika kama ilivyo tokea na inavyo endelea.
 
Ukimsoma Mwl Nyerere utagundua sifa anazomiminiwa nyingi zimetiwa chumvi nyingi.

Mwl Nyerere kakosea mambo mengi sana labda niyataje machache.

Mosi, Muungano ambao si muungano kiuhalisia.
Muungano ambao umeiua Tanganyika ukaibakiza Zanzibar.
Muungano ambao Mzanzibar ana haki zote za muungano yaani Tanganyika na Zanzibar lakini Mtanganyika ana haki Tanganyika akienda Zanzibar hana haki.

Pili, Masuala ya Ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika.Tanganyika ilitumia rasilimali zake nyingi na kuacha kuiendeleza Nchi.Sioni faida zozote za maamuzi hayo sana sana Mwl Nyerere kujipatia sifa na utukufu ambao haumsaidii mwananchi wa kawaida.

Tatu,Siasa za ujamaa ziliturejesha nyuma kiuchumi na kijamii.

Nne, Vita ya Kagera ingeweza kuepukwa kabisa kama Mwl angeacha kuwafadhili marafiki zake Obote.....

Tano,Mwl Nyerere alitengeneza katiba mbaya ya kumtukuza yeye na kumfanya mtukufu au Mungu wa nchi.Katiba hii aliyotuachia inatuumiza mpaka kesho.
Yah mawazo Yako uliyo yatoa ni kweli kabisa.

Shida ilianza pale jeshi lilipo taka kumpindukia Nyerere akiwa ikulu,

Ambapo kihistoria mashuleni haifundishwi Kwa sababu ya uwoga.
Nyerere alikuwa ni muoga sana.

Ukaiangalia katiba , imempa Raisi power ya kila kitu nchini akiamini , itamuwezesha kukaa kwa amani ikulu.

Ndio maana unaona viongozi wanalindwa ZaidI kuliko kulinda maslahi ya nchi na mipaka yake.

Lengo la kuleta ujamaa kutoka china sio kwa ajili ya kuiletea Tanganyika maendeleo, bali ilikuwa kwa ajili ya ku control nchi kwa mkono wa chuma ili kuzuia mapinduzi kama Yale yasijirudie Tena.

Sema ndio hivyo viongozi waliopo inawapasa ,waweke mifumo ya haki , amani na maendeleo kwa watanzania.
 
Ukiangalia television na kusikiliza redio na hata kusoma magazeti utapata habari za miradi mikubwa mikubwa ikifunguliwa kila siku Zanzibar. Miradi hiyo ni kama vile barabara, shule za ghorofa, viwanjwa vy michezo, masoko ya ghorofa, majengo makubwa, viwanda, miradi ya nishati, flyovers, na kadhalika.

Kwa uchumi mdogo wa Zanzibar huwa najiuliza fedha za kujenga miundombinu mikubwa na mingi hivyo kwa muda mfupi tu wa miaka miwili mitatu zinatoka wapi?

Inaonekana wakati wanachukua fedha ni siri kubwa hufichwa, ila wakati wanafungua miradi siri hizo zinafichuka zote!
Yayhe mbona wasema sisi. Kitu gani wataka kuzusha. Leta pesa jenga kizimkaz. Si ingine msiruhusu Rais kutoka visiwabi.
 
Ukiangalia television na kusikiliza redio na hata kusoma magazeti utapata habari za miradi mikubwa mikubwa ikifunguliwa kila siku Zanzibar. Miradi hiyo ni kama vile barabara, shule za ghorofa, viwanjwa vy michezo, masoko ya ghorofa, majengo makubwa, viwanda, miradi ya nishati, flyovers, na kadhalika.

Kwa uchumi mdogo wa Zanzibar huwa najiuliza fedha za kujenga miundombinu mikubwa na mingi hivyo kwa muda mfupi tu wa miaka miwili mitatu zinatoka wapi?

Inaonekana wakati wanachukua fedha ni siri kubwa hufichwa, ila wakati wanafungua miradi siri hizo zinafichuka zote!
Mama ana akili usimfananishe na mwehu yule aliyepita
 
Laiti nyerere angejua wachina sio wajamaa ni madikteta asingetaka siasa za ujamaa

Nimpongeze afisa cadet alivyetoa mavitabu ya ujamaa,
Ujamaa alileta kwa ajili ya ku control nchi kwa mkono wa chuma ili kuzuia mapinduzi kama Yale yasijirudie Tena,
Nyerere hakupaswa kuwa Raisi, hakuna anachotakiwa kukifanya . Angebaki kuwa karibu mwenyezi huko chamañi

Alafu Nyerere alikuwa na mshauri wake binafsi mu UK jina John ...., inawezekana jamaa alikuwa anmlisha Nyerere matango pori
 
Ukiangalia television na kusikiliza redio na hata kusoma magazeti utapata habari za miradi mikubwa mikubwa ikifunguliwa kila siku Zanzibar. Miradi hiyo ni kama vile barabara, shule za ghorofa, viwanjwa vy michezo, masoko ya ghorofa, majengo makubwa, viwanda, miradi ya nishati, flyovers, na kadhalika.

Kwa uchumi mdogo wa Zanzibar huwa najiuliza fedha za kujenga miundombinu mikubwa na mingi hivyo kwa muda mfupi tu wa miaka miwili mitatu zinatoka wapi?

Inaonekana wakati wanachukua fedha ni siri kubwa hufichwa, ila wakati wanafungua miradi siri hizo zinafichuka zote!
Zinatoka kijijini kwenu.
 
Back
Top Bottom