Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Ilikuwa tuomboleze sasaUnajua mirathi ya sultan ni mpaka nyumba nyeupe, BoT, Yan majengo yote yanayofanana na sultan arctechuture ni mali zake alizozi azinsha sultan 😂
Yan huwezi amini tz Bado ni nchini changa, ni kama tumepata uhuru janaIlikuwa tuomboleze sasa
Halafu mkakaa kimya tu vibaya hivyo
Ukimsoma Mwl Nyerere utagundua sifa anazomiminiwa nyingi zimetiwa chumvi nyingi.Je Nyerere alifanya hivyo kwa makusudi au kukosa utashi wa akili ?
Kweli kabisa na hatujui tuanze wapiYan huwezi amini tz Bado ni nchini changa, ni kama tumepata uhuru jana
Samia ni kama Magufuli, pesa zinachotwa Tanganyika kwenda Zanzibar ila yeye kamzidi magu sababu anakiuka katiba ya nchiUkiangalia television na kusikiliza redio na hata kusoma magazeti utapata habari za miradi mikubwa mikubwa ikifunguliwa kila siku Zanzibar. Miradi hiyo ni kama vile barabara, shule za ghorofa, viwanjwa vy michezo, masoko ya ghorofa, majengo makubwa, viwanda, miradi ya nishati, flyovers, na kadhalika.
Kwa uchumi mdogo wa Zanzibar huwa najiuliza fedha za kujenga miundombinu mikubwa na mingi hivyo kwa muda mfupi tu wa miaka miwili mitatu zinatoka wapi?
Inaonekana wakati wanachukua fedha ni siri kubwa hufichwa, ila wakati wanafungua miradi siri hizo zinafichuka zote!
Zinaletwa na maji ya Bahari ya Hindi.Ukiangalia television na kusikiliza redio na hata kusoma magazeti utapata habari za miradi mikubwa mikubwa ikifunguliwa kila siku Zanzibar. Miradi hiyo ni kama vile barabara, shule za ghorofa, viwanjwa vy michezo, masoko ya ghorofa, majengo makubwa, viwanda, miradi ya nishati, flyovers, na kadhalika.
Kwa uchumi mdogo wa Zanzibar huwa najiuliza fedha za kujenga miundombinu mikubwa na mingi hivyo kwa muda mfupi tu wa miaka miwili mitatu zinatoka wapi?
Inaonekana wakati wanachukua fedha ni siri kubwa hufichwa, ila wakati wanafungua miradi siri hizo zinafichuka zote!
Kutoka wapi?Zinaletwa na maji ya Bahari ya Hindi.
Kutoka Uchumi wa buluuKutoka wapi?
Bado Kiembe Samaki hawawezi hayo mambo.Kutoka Uchumi wa buluu
Kwa nini wasiweze?Bado Kiembe Samaki hawawezi hayo mambo.
Mwinyi ana hela wewe, zote zile pesa zakeUkiangalia television na kusikiliza redio na hata kusoma magazeti utapata habari za miradi mikubwa mikubwa ikifunguliwa kila siku Zanzibar. Miradi hiyo ni kama vile barabara, shule za ghorofa, viwanjwa vy michezo, masoko ya ghorofa, majengo makubwa, viwanda, miradi ya nishati, flyovers, na kadhalika.
Kwa uchumi mdogo wa Zanzibar huwa najiuliza fedha za kujenga miundombinu mikubwa na mingi hivyo kwa muda mfupi tu wa miaka miwili mitatu zinatoka wapi?
Inaonekana wakati wanachukua fedha ni siri kubwa hufichwa, ila wakati wanafungua miradi siri hizo zinafichuka zote!
Z8natoka Tanganyika kwa wadanganyika. Tungekuwa intelligent unit yenye kujuwa kazi yake magufuli na Samia wasinge chezea kodi za watanganyika kama ilivyo tokea na inavyo endelea.Ukiangalia television na kusikiliza redio na hata kusoma magazeti utapata habari za miradi mikubwa mikubwa ikifunguliwa kila siku Zanzibar. Miradi hiyo ni kama vile barabara, shule za ghorofa, viwanjwa vy michezo, masoko ya ghorofa, majengo makubwa, viwanda, miradi ya nishati, flyovers, na kadhalika.
Kwa uchumi mdogo wa Zanzibar huwa najiuliza fedha za kujenga miundombinu mikubwa na mingi hivyo kwa muda mfupi tu wa miaka miwili mitatu zinatoka wapi?
Inaonekana wakati wanachukua fedha ni siri kubwa hufichwa, ila wakati wanafungua miradi siri hizo zinafichuka zote!
Yah mawazo Yako uliyo yatoa ni kweli kabisa.Ukimsoma Mwl Nyerere utagundua sifa anazomiminiwa nyingi zimetiwa chumvi nyingi.
Mwl Nyerere kakosea mambo mengi sana labda niyataje machache.
Mosi, Muungano ambao si muungano kiuhalisia.
Muungano ambao umeiua Tanganyika ukaibakiza Zanzibar.
Muungano ambao Mzanzibar ana haki zote za muungano yaani Tanganyika na Zanzibar lakini Mtanganyika ana haki Tanganyika akienda Zanzibar hana haki.
Pili, Masuala ya Ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika.Tanganyika ilitumia rasilimali zake nyingi na kuacha kuiendeleza Nchi.Sioni faida zozote za maamuzi hayo sana sana Mwl Nyerere kujipatia sifa na utukufu ambao haumsaidii mwananchi wa kawaida.
Tatu,Siasa za ujamaa ziliturejesha nyuma kiuchumi na kijamii.
Nne, Vita ya Kagera ingeweza kuepukwa kabisa kama Mwl angeacha kuwafadhili marafiki zake Obote.....
Tano,Mwl Nyerere alitengeneza katiba mbaya ya kumtukuza yeye na kumfanya mtukufu au Mungu wa nchi.Katiba hii aliyotuachia inatuumiza mpaka kesho.
Yayhe mbona wasema sisi. Kitu gani wataka kuzusha. Leta pesa jenga kizimkaz. Si ingine msiruhusu Rais kutoka visiwabi.Ukiangalia television na kusikiliza redio na hata kusoma magazeti utapata habari za miradi mikubwa mikubwa ikifunguliwa kila siku Zanzibar. Miradi hiyo ni kama vile barabara, shule za ghorofa, viwanjwa vy michezo, masoko ya ghorofa, majengo makubwa, viwanda, miradi ya nishati, flyovers, na kadhalika.
Kwa uchumi mdogo wa Zanzibar huwa najiuliza fedha za kujenga miundombinu mikubwa na mingi hivyo kwa muda mfupi tu wa miaka miwili mitatu zinatoka wapi?
Inaonekana wakati wanachukua fedha ni siri kubwa hufichwa, ila wakati wanafungua miradi siri hizo zinafichuka zote!
Mama ana akili usimfananishe na mwehu yule aliyepitaUkiangalia television na kusikiliza redio na hata kusoma magazeti utapata habari za miradi mikubwa mikubwa ikifunguliwa kila siku Zanzibar. Miradi hiyo ni kama vile barabara, shule za ghorofa, viwanjwa vy michezo, masoko ya ghorofa, majengo makubwa, viwanda, miradi ya nishati, flyovers, na kadhalika.
Kwa uchumi mdogo wa Zanzibar huwa najiuliza fedha za kujenga miundombinu mikubwa na mingi hivyo kwa muda mfupi tu wa miaka miwili mitatu zinatoka wapi?
Inaonekana wakati wanachukua fedha ni siri kubwa hufichwa, ila wakati wanafungua miradi siri hizo zinafichuka zote!
Ujamaa alileta kwa ajili ya ku control nchi kwa mkono wa chuma ili kuzuia mapinduzi kama Yale yasijirudie Tena,Laiti nyerere angejua wachina sio wajamaa ni madikteta asingetaka siasa za ujamaa
Nimpongeze afisa cadet alivyetoa mavitabu ya ujamaa,
Zinatoka kijijini kwenu.Ukiangalia television na kusikiliza redio na hata kusoma magazeti utapata habari za miradi mikubwa mikubwa ikifunguliwa kila siku Zanzibar. Miradi hiyo ni kama vile barabara, shule za ghorofa, viwanjwa vy michezo, masoko ya ghorofa, majengo makubwa, viwanda, miradi ya nishati, flyovers, na kadhalika.
Kwa uchumi mdogo wa Zanzibar huwa najiuliza fedha za kujenga miundombinu mikubwa na mingi hivyo kwa muda mfupi tu wa miaka miwili mitatu zinatoka wapi?
Inaonekana wakati wanachukua fedha ni siri kubwa hufichwa, ila wakati wanafungua miradi siri hizo zinafichuka zote!
Hizi wanazoziiba kila siku hazitoshi?Zanzibar tungekuwa tunawapa hela kadiri ya makubaliano, leo wangeukuwa kama Paris