Zipi faida na changamoto za kufanya kazi chini ya wahindi, wasomali &waarabu?

Half american

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
46,410
Reaction score
114,823
Assalamu alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh.

Wakuu naomba kujua faida na changamoto za kufanya kazi na makampuni ya aina ya watu niliyoyataja hapo juu.

NB: No place for racism
 
Yaani umande ukiingia kwenye ukungu ni kosa la kiufundi kung'oa jino la kutafunia nyama hata kama zeuta zeuya ila chai na nyama ya kukaanga inaleta ufanisi sana kwenye daftari la kudumu la wapiga kura
Sawa mkuu
 
Kwa wahindi faida mojawapo utajifunza mengi kutoka kizazi chao cha tatu kizazi kipya. . Wazazi wao kizazi cha pili na mababu zao kizazi cha kwanza wana experience kubwa kutokana na makosa waliofanya. kwa hiyo kizazi kinachafuata kinarekebisha makosa na kusonga mbele.

Kwa ufupi wahindi jinsi muda unavyokwenda wanafanya vizuri sana sababu wanaishi na kuthamini sana principles na integrity pia kila kizazi kinachofuata kinakuwa bora zaidi kwa kuwa hawarudii makosa yaliyofanywa na kizazi kilichopita kutokana na utamaduni wao mzuri wa kurithishana maarifa na mali.
 
Shukrani mkuu kwa ufafanuzi mzuri.
 
" Maswali bashenzi hapana penda kazi , penda pewa pesa tu , bashwahili ?? ,, vivuuu "

alisikika mwarabu fulani akiongea na hapo kuna semi imejaa mifuko ya unga kilo 25 wanaoshusha ni hao maswali anaowasimanga,, vijana wawatu wamebeba mifuko ile mpaka njia wapitayo imelowana na jasho

Lakin yeye kapiga kanzu yake nyeupe safi anatomboka maneno ya ovyo namna hiyo kwa kweli niliumia mno na kuona watu wanaofanya kazi kwa hawa watu wana moyo ..
 
" Maswali bashenzi hapana penda kazi , penda pewa pesa tu , bashwahili ?? ,, vivuuu "

alisikika mwarabu fulani akiongea na hapo kuna semi imejaa mifuko ya unga kilo 25 wanaoshusha ni hao maswali anaowasimanga,, vijana wawatu wamebeba mifuko ile mpaka njia wapitayo imelowana na jasho

Lakin yeye kipiga kanzu yake nyeupe safi unatomboka maneno ya ovyo namna hiyo kwa kweli niliumia mno na kuona watu wanaofanya kazi kwa hawa watu wana moyo ..
Kwahiyo kuna kosa kuvaa kanzu Kwa huyo muarabu?

Kumbuka kwenye utafutaji yeye aliwekeza pesa kama mtaji,nyie mliwekeza nguvu kama mtaji
 
Masikini hathaminiki mkuu
 
Assalamu alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh.

Wakuu naomba kujua faida na changamoto za kufanya kazi na makampuni ya aina ya watu niliyoyataja hapo juu.

NB: No place for racism
Kufanya kazi kwa hawa jamaa uwe bado unajitafuta. Ili uibe tu ukimbie ukaanze maisha.
 
Kwahiyo kuna kosa kuvaa kanzu Kwa huyo muarabu?

Kumbuka kwenye utafutaji yeye aliwekeza pesa kama mtaji,nyie mliwekeza nguvu kama mtaji
Hao watu siku zote humuona mtu mweuse ni mtumwaaa tu kwao hata ufanye nini huo ndiyo mtizamo wao juu ya mtu mweusi ..

Wewe mtu unapiga kazi mwezi mzima ,, mwisho wa mwezi anakulipa furushi la kanzu zake ambazo kachoka kuzivaa nani anaweze vumilia ushenzi wa namna hii ???
 
Back
Top Bottom