Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Maisha ni kama fenesi unaweza kuingia ndani ukipitia kwebye dirisha na kula makande lakini farasi hawezi kumenya chungwaAssalamu alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh.
Wakuu naomba kujua faida na changamoto za kufanya kazi na makampuni ya aina ya watu niliyoyataja hapo juu.
NB: No place for racism
Sijakuelewa unamaanisha nini mkuuMaisha ni kama fenesi unaweza kuingia ndani ukipitia kwebye dirisha na kula makande lakini farasi hawezi kumenya chungwa
Bora kwanini mkuuBora Somali
Yaani umande ukiingia kwenye ukungu ni kosa la kiufundi kung'oa jino la kutafunia nyama hata kama zeuta zeuya ila chai na nyama ya kukaanga inaleta ufanisi sana kwenye daftari la kudumu la wapiga kuraSijakuelewa unamaanisha nini mkuu
Sawa mkuuYaani umande ukiingia kwenye ukungu ni kosa la kiufundi kung'oa jino la kutafunia nyama hata kama zeuta zeuya ila chai na nyama ya kukaanga inaleta ufanisi sana kwenye daftari la kudumu la wapiga kura
Shukrani mkuu kwa ufafanuzi mzuri.Kwa wahindi faida mojawapo utajifunza mengi kutoka kizazi chao cha tatu kizazi kipya. . Wazazi wao kizazi cha pili na mababu zao kizazi cha kwanza wana experience kubwa kutokana na makosa waliofanya. kwa hiyo kizazi kinachafuata kinarekebisha makosa na kusonga mbele.
Kwa ufupi wahindi jinsi muda unavyokwenda wanafanya vizuri sana sababu wanaishi na kuthamini sana principles na integrity pia kila kizazi kinachofuata kinakuwa bora zaidi kwa kuwa hawarudii makosa yaliyofanywa na kizazi kilichopita kutokana na utamaduni wao mzuri wa kurithishana maarifa na mali.
Kwahiyo kuna kosa kuvaa kanzu Kwa huyo muarabu?" Maswali bashenzi hapana penda kazi , penda pewa pesa tu , bashwahili ?? ,, vivuuu "
alisikika mwarabu fulani akiongea na hapo kuna semi imejaa mifuko ya unga kilo 25 wanaoshusha ni hao maswali anaowasimanga,, vijana wawatu wamebeba mifuko ile mpaka njia wapitayo imelowana na jasho
Lakin yeye kipiga kanzu yake nyeupe safi unatomboka maneno ya ovyo namna hiyo kwa kweli niliumia mno na kuona watu wanaofanya kazi kwa hawa watu wana moyo ..
Nna imani kuna mmoja kati yao anao unafuu kiasiHakuna mwenye nafuu hapo
Masikini hathaminiki mkuu" Maswali bashenzi hapana penda kazi , penda pewa pesa tu , bashwahili ?? ,, vivuuu "
alisikika mwarabu fulani akiongea na hapo kuna semi imejaa mifuko ya unga kilo 25 wanaoshusha ni hao maswali anaowasimanga,, vijana wawatu wamebeba mifuko ile mpaka njia wapitayo imelowana na jasho
Lakin yeye kipiga kanzu yake nyeupe safi unatomboka maneno ya ovyo namna hiyo kwa kweli niliumia mno na kuona watu wanaofanya kazi kwa hawa watu wana moyo ..
Kufanya kazi kwa hawa jamaa uwe bado unajitafuta. Ili uibe tu ukimbie ukaanze maisha.Assalamu alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh.
Wakuu naomba kujua faida na changamoto za kufanya kazi na makampuni ya aina ya watu niliyoyataja hapo juu.
NB: No place for racism
Kwanini uibe si kujitafutia matatizoKufanya kazi kwa hawa jamaa uwe bado unajitafuta. Ili uibe tu ukimbie ukaanze maisha.
Kwenye hilo nadhani ndio changamoto kubwa ila hiyo tuitoeNi wabaguzi sana
Hao watu siku zote humuona mtu mweuse ni mtumwaaa tu kwao hata ufanye nini huo ndiyo mtizamo wao juu ya mtu mweusi ..Kwahiyo kuna kosa kuvaa kanzu Kwa huyo muarabu?
Kumbuka kwenye utafutaji yeye aliwekeza pesa kama mtaji,nyie mliwekeza nguvu kama mtaji