Zitambue bidhaa za ujenzi zinazookoa gharama za ujenzi

Zikija nistue
 
Vipande si ununue ya kawaida kama hamsini uwe unakata vipande? kuna ubaya gani katika hilo.?
Vipande si ununue ya kawaida kama hamsini uwe unakata vipande? kuna ubaya gani katika hilo.?

Alishajibu mleta uzi
 
Wakati tunaendelea na ujenzi wa msingi kwa concrete hollow blocks,, hapa chini mtaona tumeanza kuwaonesha kifaa kingine cha kipekee, nacho ni hicho kinachojenga nguzo...



Msingi unapanda na nguzo zinapanda wakati huohuo, bila kungoja na kupoteza muda kwa nguzo za kumwaga zege zilizozoeleka.

Hizo zinaitwa Abraar column blocks.
 

Wale wa fence suluhisho tayari hakuna haja ya kuteseka tena
 
Wabongo mnashida sana....wamisionary waliacha hydro ram pump ambayo haitumii umeme kupandisha maji lakini hamtaki kuzitumia. Mnabaki kukejeli tu! Mnaniudhi.
Kwenye uzi mzuri kama huu; inasikitisha utaona kuna watu wana AKILI ZA KIMASIKINI sana!

Hawajui kupongeza,
Hawajui kukosoa,
Hawajui kuelekeza...

Ila wapo kujifanya WAJUAJI!!!

Nampongeza dmkali ameuliza maswali chokozi ambayo ni ya msingi sana.

Kwa majibu ya mleta mada na wachangiaji wengine, basi mtu yeyote makini hapa anatoka na kitu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…