Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 1,915
- 5,750
Maswali ya msingi sana haya, ila majibu yanayokuja sasa, daah..Wakati wa plumbing ungetuoneshabkwa picha bomba zinawekwaje pamoja na bomba za umeme, na kwa unene wa hizo tofali ukidrill kutundika kitu chenye zaidi ya KG25 kama water heater za Astron utaweza kuhimili?
Switch socket za umeme box yake inakaaje?
Nimehangaika kuscrol nikutane na jibu la msingi, nakutana na jibu la kipumbavu namna hii.Vyote hivyo vinafanyika kiwepesi zaidi. Ni mambo ya kawaida sana
Nakushauri uje ujionee live na kula tutapoweza tutakuwekea picha.
Jibu lipi hilo "daah"?Maswali ya msingi sana haya, ila majibu yanayokuja sasa, daah..
Huja scroll vizuri, huo uusemao "upumbavu" ndicho kilichofanyika post namba 103.Nimehangaika kuscrol nikutane na jibu la msingi, nakutana na jibu la kipumbavu namna hii.
Hili kweli ndo jibu la swali alilouliza? Au mimi ndo sijaelewa?Imebidi nikukate baadhi ya maandiko yako niache yale maswali ya msingi tu, kwani mengine uliyoyaandika hayahusiani na ujenzi na mengine tumeshakujibu juu huko.
Hizo blocks ukifika unapoishia msingi wako tu, inapokua sakafu yako (floor level), wakati unayajenga, kwa wale ambao hawayajazoea sana wanayapindua juu chini, inakua unajenga kama tofari zilizozoeleka, matundu yake hayajapitiliza pande zote. Kwa wale wazoefu wa kuyatumia wanayajenga bila kuyageuza, wanapitisha cement ya mortar (mota) bila kuiingiza kwenye matundu. Utapenda kuwatazama wakiwa kazini.
Jibu lipi hilo "daah"?
Kauliza mengi hapo tumejibu kipande hicho cha kufika "rinta", iyakua wewe ndio hujaelewa hilo jibu, kama ambavyo ulikuwa hujayaelewa hapo juu kua swali lilijibiwa mpaka kwa picha, ukaleta "upumbavu". Hakuna janja janaja kweye ufundi bora, majibu yapo straight forward, kama kuna ambacho hujaelewa, uliza tu, usitake kukisia. Yeye hajaulizia kuhusu plaster.Hili kweli ndo jibu la swali alilouliza? Au mimi ndo sijaelewa?
Swali kutoka kwenye jibu lako?
Wakishayapindua na kujenga kama tofali zilizozoekeka, plasta inakuaje?
Wakijenga wazoefu, wakapitisha mota bila kuingiza kwenye matundu, kwenye linta zinafanywaje? Ameuliza sana mhusika, namimi nimerudia, sio dhambi.
NB:
Majibu ya janja janja yanaibua maswali zaidi.
HAkuna jibu la maana ulilotoa!Kauliza mengi hapo tumejibu kipande hicho cha kufika "rinta", iyakua wewe ndio hujaelewa hilo jibu, kama ambavyo ulikuwa hujayaelewa hapo juu kua swali lilijibiwa mpaka kwa picha, ukaleta "upumbavu". Hakuna janja janaja kweye ufundi bora, majibu yapo straight forward, kama kuna ambacho hujaelewa, uliza tu, usitake kukisia. Yeye hajaulizia kuhusu plaster.
Plasta inakuaje vipi? Sasa wewe swali lako ndilo sijalielewa.
Hapa ni muonekano wa kifaa cha kipekee cha kipaa (roofing) na dari (ceiling slab ) kwa pamoja. Kinaitwa Abraar waffle roofing/ceiling slab kinatumika kwenye mpango wa ujenzi wa Abraar Bricks Nyumba kwa wote...HAkuna jibu la maana ulilotoa!
Lakini ngoja niwashauri wadau!
KWA MTU AMBAYE HANA PESA ZA KUJENGA KWA MKUPUO yaani ( boma, umeme, plumbing n.k) Si mshauri hata kidogo atumie hizo tofali, Kuna fumbo limefichwa hapo ndiyo maana wahusika wakali balaa wakiulizwa mambo ya msingi!
Je; ni wapi tofali hizi zinafaa?
Maeneo ambayo tofali hizi zinaweza kutumika kwasasa kuepukana na changamoto ni kujenga UZIO TU au kumbi ambazo hazihitaji mnyumbuliko wa bomba!
UKISHUPAZA SHINGO Usielewe ushauri wangu ukaamua kujengea nyumba basi jiandae na yafuatayo
1. Lazima wakati wa ujenzi wa tofali hizi mafundi wote wa fani mhimu kama maji na umeme wawepo ili kuweka miundombinu (hii ni gharama ya mpigo)
2 .inatakiwa material ya umeme na mabomba yawepo site ( ujenzi wa mpigo unahitaji bajeti)
3. Lazima saiti kuwe na umeme au jenereta kuwasha grenda ( inaongeza gharama)
4. Mafundi makini zaidi kukujengea (wana bei zaidi)
5. Endapo kukitokea mabadiliko au hitilafu ni ngumu kufanya marekebisho
6. Zinahitaji muda mwingi (labour charge ni kubwa)
7. Kwenye majengo marefu Ufungaji majukwaa kwa ajili ya plaster na finishing ni mgumu kidogo ukitumia mbao, labda kukodo majukwaa spesho
Faida za tofali hizi
1. Nyepesi (kupunguza uzito)
2. Mfuko unapata tofali nyingi kiasi
3. Hazitunzi joto
4. Siyo lazima kufanya plaster
5. Zinafaa sana kujengea uzio na mabanda
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE kama una hela ya mawazo usijichanganye kwenye hizo tofali HAINA MAANA NI MBAYA HAPANA BALI Maboresho yanahitajika ili kuongeza mnyumbuliko wa kazi
Huo ju ni muonekano wa awali wa juu ya kipaa. Chini hapa ni muonekano wa ndani umeanza hatua ya semifinish...Hapa ni muonekano wa kifaa cha kipekee cha kipaa (roofing) na dari (ceiling slab ) kwa pamoja. Kinaitwa Abraar waffle roofing/ceiling slab kinatumika kwenye mpango wa ujenzi wa Abraar Bricks Nyumba kwa wote...
View attachment 2307947View attachment 2307948View attachment 2307949
= nafikiriZamani nilikuwa nafikili wewe ni mtu mwenye busara!
Abdul Ma shaa Allah, tuwekee nanpichabya darasanlamkompyuta.Huo ju ni muonekano wa awali wa juu ya kipaa. Chini hapa ni muonekano wa ndani umeanza hatua ya semifinish...
View attachment 2308100View attachment 2308101
Nimeupitia uzi wote mwanzo mpaka mwisho, maswali yote yamejibiwa, mengine Abdul ameyajibu na picha juu.Maswali ya msingi sana haya, ila majibu yanayokuja sasa, daah..
Safi sana Abdul. Umempa na offer ya kumsomesha ujenzi. Nakufahamu kwanini umempa hiyo offer, umemuona ana maswali ya kijinga, au siyo?
Mkuu, ni uamuzi wako kutosema bei. Ila nakukumbusha kuwa kuna teknojia nyingine pia zilikuja kwa jina la kupunguza gharama na muda wa ujenzi ambazo ni 1. hydraform bricks, EPS/Megapanel na Moladi lakini walaji wameshindwa kuona maajabu yake na kupelekea kupotea sokoni. Maana kwa watanzania tulio wengi, Muda/Time sio issue kubwa, ndio maana huwa tunajenga course 4 kisha tunapumzika, unajikuta tunamaliza nyumba kwa miaka zaidi ya mi2. Ila hiyo teknolojia yako inataka ukija site upige tofali zote ndio uondoke. Wakati kwa traditional method huwa tunanunua tofali hata 200 fundi anajenga kisha tunasimama.
Lakini pia kwa nini unasema bidhaa zenu zinajiuza zenyewe hakuna haja ya kumshawishi mtu. Ni kweli ????? Ulikuwa na lengo gani kuja huku JF na kuanzisha uzi?
Wish you all the best mkuu. Na ngoja niendelee kunywa mtori kwanza, maana nyama nitazikuta kwa chini
HAkuna jibu la maana ulilotoa!
Lakini ngoja niwashauri wadau!
KWA MTU AMBAYE HANA PESA ZA KUJENGA KWA MKUPUO yaani ( boma, umeme, plumbing n.k) Si mshauri hata kidogo atumie hizo tofali, Kuna fumbo limefichwa hapo ndiyo maana wahusika wakali balaa wakiulizwa mambo ya msingi!
Je; ni wapi tofali hizi zinafaa?
Maeneo ambayo tofali hizi zinaweza kutumika kwasasa kuepukana na changamoto ni kujenga UZIO TU au kumbi ambazo hazihitaji mnyumbuliko wa bomba!
UKISHUPAZA SHINGO Usielewe ushauri wangu ukaamua kujengea nyumba basi jiandae na yafuatayo
1. Lazima wakati wa ujenzi wa tofali hizi mafundi wote wa fani mhimu kama maji na umeme wawepo ili kuweka miundombinu (hii ni gharama ya mpigo)
2 .inatakiwa material ya umeme na mabomba yawepo site ( ujenzi wa mpigo unahitaji bajeti)
3. Lazima saiti kuwe na umeme au jenereta kuwasha grenda ( inaongeza gharama)
4. Mafundi makini zaidi kukujengea (wana bei zaidi)
5. Endapo kukitokea mabadiliko au hitilafu ni ngumu kufanya marekebisho
6. Zinahitaji muda mwingi (labour charge ni kubwa)
7. Kwenye majengo marefu Ufungaji majukwaa kwa ajili ya plaster na finishing ni mgumu kidogo ukitumia mbao, labda kukodo majukwaa spesho
Faida za tofali hizi
1. Nyepesi (kupunguza uzito)
2. Mfuko unapata tofali nyingi kiasi
3. Hazitunzi joto
4. Siyo lazima kufanya plaster
5. Zinafaa sana kujengea uzio na mabanda
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE kama una hela ya mawazo usijichanganye kwenye hizo tofali HAINA MAANA NI MBAYA HAPANA BALI Maboresho yanahitajika ili kuongeza mnyumbuliko wa kazi
Lengo ni kutoa taarifa siyo kuuza.
Tena umeuliza swali zuri sana.Sisi wa mikoani tunacomment wapi?