Zitambue fursa za kiuchumi katika Mkoa wa Njombe

Hii ndo sehemu pekee iyounganisha hizi halmashauri nne za mkoa ndo maana kwa Sasa imezungukwa na makazi kibena
View attachment 2532206
Mkuu mimi bado nafuatilia.

Sasa naona tovuti imeanza kubadilika kidogo ni jambo zuri.

Jaribu kuhakikisha mtu anaeshughulika na hiyo tovuti aenda na wakati na tovuti yasheheni taarifa zote muhimu.

Kwa mfano hakuna taarifa zozote za mwezi Februari jambo ambalo si la afya kidogo.

Tatu, jaribu kuhakikisha tovuti ya mkoa ni dynamic yaani mtu aweze kufungua ukarasa zaidi ya mmoja bila kuathiri mwonekano (visual appeal) na muundo (layout). Tovuti isiwe yasimama (static) kwamba kila karasa ipo katika eneo moja tu na ni hapohapo.

Mwisho, msiogope kuwekeza katika masuala kama websites maana hizi ni dirisha la kwanza kabisa kwa mgeni khasa anotokea masafa ya mbali. Static website yahitaji manual updating lakini dynamic itakupa sehemu mbili yaani "client side scripting" na "server side scripting". Hizi njia zakupa website ambayo ni ya kisasa, yenye kujazwa taarifa kwa "real time" na ipo salama zaidi kwasababu kwenye "client side scripting", Java huweza kutumika.

Huo ni ushauri kwa kifupi sana lakini naamini utashughulikia kwani Halmashauri ya Njombe ina pesa ya kutosha kwa mambo madogo kama kugharamia website.
 
Hili eneo wameruhusu uwekezaji wa hotel ni bwawa ambalo lipo katikati ya halmashauri nne njombe tc,njombe dc makambako tc na wangingombe
 
hapo no 4 wanawake walio wengi wa mkoa huo wachafu hawajui kuoga wala kufua malaya sana ila ni watafutaji sana hata kupika hawajui zadi kitimoto
 
hapo no 4 wanawake walio wengi wa mkoa huo wachafu hawajui kuoga wala kufua malaya sana ila ni watafutaji sana hata kupika hawajui zadi kitimoto
Mkuu, weye waingiza soko kama la "beauty products" na nguo za aina zote za akina mama pamoja na majiko ya kisasa, fursa tayari.

Utashangaa hao wanawake wapendeza kwa kuogea sabuni nzuri, na pia wavaa nguo maridadi.

Just be positive.
 
Kwa plan hii huu mkoa kupitia hizi halmashauri nne wanauwezo wa kuja kuwa na jiji la mfano nyanda za juu kusini ni sehemu yenye uwanda wa tambalale kubwa ambalo ime cover Halmashauri nne za makambako tc ,wangingombe ,njombe dc na njombe tc wilaya zenye milima ni makete na ludewa
 

Attachments

  • FB_IMG_16756788344120328.jpg
    31.1 KB · Views: 106
" Njombe peleka pesa na sio kuchukua pesa, wenyeji bado hawaamin kununua kwa mtu asie kabila lao"
Peleka pesa kanunue viazi, mbao , mapori.
Lakini sio wao wakupe wewe pesa kupitia biashara utakayoanzisha. Naongea kwa uzoefu.
Uko sahihi kabisa
 
Kujifunza kwa aliyefanikiwa ni nzuri zaidi ni wakati Sasa wa mkoa wa njombe kujifunza dodoma jinsi walivyo fanya mgawanyo wa uwekezaji kwe zone hizo nne maana na mkoa wa njombe unaeneo kama Hilo lenye wakazi zaidi ya laki Saba ambao ni fursa kwao kwa uwekezaji na uwekezaji mkubwa inatakiwa ufanyike eneo la mtwango ambalo ndo katikati ya zone hizo ambalo Kila upande ni almost km 25 umefika halmashauri nyingine na wakifanya hivyo mkoa wa njombe utakuwa the best ukanda wa nyanda za juu kusini maana Hilo eneo lote ni tambalale
 
Naomba kuuliza kuhusu hii fursa je?
Ulanzi unauzwa Tsh ngapi huko kwa lita moja.

Na anahefahamu bei ya ulanzi kwa Iringa tafadhali. Anijuze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…