Zitambue fursa za kiuchumi katika Mkoa wa Njombe

Zitambue fursa za kiuchumi katika Mkoa wa Njombe

Wametoka kenya hao
FB_IMG_16708237359814858.jpg
FB_IMG_16708237229046005.jpg
 

Attachments

  • DSC05810(0).JPG
    DSC05810(0).JPG
    167.1 KB · Views: 22
  • DSC05810(0).JPG
    DSC05810(0).JPG
    167.1 KB · Views: 20
Unaweza fanya hii pia mkoa wa njombe.
1.kutengenza mkaa unamix unga wa makaa ya mawe na unga wa maranda ya mbao then unatumia pellet mill kutengeneza pellet au mkaa unapaki unasambaza nchi nzima.
2.Mradi Mkubwa wa matofali ya kuchoma kwa kutumia burner za oil, makaa ya mawe, maranda.
3.Blast furnace za kuyeyusha chuma KWA kutumia makaa ya mawe.
4.Utengezaji wa mikeka ya kisasa kutumia mianzi
5.Kuzalisha caborn black mkaa wa mianzi KWA ajili ya dawa, kuchuja maji, mafuta nk
6.Kiwanda cha tooth sticks kutumia mianzi.
7.kuzalisha mbao za mianzi
 
Kenya ndie supply Mkubwa Sana wa parachichi Ulaya na China, matajiri wetu hawawezi wanajua kuloga tu kutoa makafara tu barabarani,creativity hawana na biashara za kuigana tu sijui duka, magari, hotel hizi ni biashara za machinga tu. Inatakiwa wafanye uwekezaji mitaji wanayo na sio kuwaachia wachina.
Ushirikina unadumaza uwezo wa kufikiri.Huwezi ukawa mshirikina then ukawa na thinking capacity.
90% ya fursa zilizopo nchini bado hazijatumika kabisa.
 
Kwamba hayo makaa unanunua na kuuza. Alafu we si mtz mbona huendi kuwekeza huko?
Wekeza kwenye makaa ya mawe na chuma hutopata hasara. Watz hawajui kuhusu haya ngoja wachina waje watajirike
 
Back
Top Bottom