Zitambue fursa za kiuchumi katika Mkoa wa Njombe

Zitambue fursa za kiuchumi katika Mkoa wa Njombe

NFRA Kanda ya makambako mkoani njombe
DSC_4645-1024x682.jpg
mqdefault.jpg
 
Mradi wa tank farm zamafuta utafanyika eneoo la makambako ili kuhudumua mikoa ya nyanda za juu kusin ndo maana kama mkoa umeteua mji wa makambako kuwa logistic centre ya mkoa kwa sababu una miundo mbinu ya usafirishaji ni rafiki na maghara ya kuto
94142112.jpg
IMG_1470[1].JPG
FB_IMG_16727495688477623.jpg
FB_IMG_16727495359454879.jpg
FB_IMG_16763637887038480.jpg
sha
Spatial-map-of-the-Southern-Highlands-with-significant-pig-related-and-ASF-locations.jpg
Tazama_Oil_depot.JPG
 
Jitahidi kuwahimiza wafanyabiashara wa ndani kuwa uwezo wa kufanya "packaging" ya viazi.

Viazi vyapakiwa kwa mifuko ya size tofauti kuanzia mifuko mikubwa kama "family pack" na hadi ziazi vinne ndani ya begi moja.

Hivyo mjaribu kuwavutia vijana walosoma mambo kama marketing ambayo ina masuala kama ya packaging, branding na mengi ili kutoa elimu hiyo kwa wafanyabiashara wazawa.

Wachina wakiingia hapo watachukua nafasi ya vijana wazawa na local labor force itakuwa yakaa idle na ndo masuala kama HIV kusambaa na kuua kizazi kijacho.
 
Mkoa wa hovyo watu wa majungu, uganga, full uchawi sana, wasiotaka wageni wafanikiwe ni wenyewe tu watu wenye roho mbaya na za kwa nini. Huko kuishi mpaka uwe mwenyeji na kufanikiwa kutoka kibiashara uwe mtu wa madawa sana
 
Ni wilaya ama vijiji vipi huko mkoani Njombe kwa kilimo cha viazi vinakubali hasa. Yaani ukilima kwa kufuata utaratibu vinatoa kwa ufasaha na kwa wastani kwenye heka moja unatoa gunia ngapi? Yaani hapo mtu akifuata taratibu zote za kilimo husika anatoa gunia ngapi?
Hapo ni makete ,wangingombe na njombe huku kwote wanazalisha viaz vya kutosha
 
Ni wilaya ama vijiji vipi huko mkoani Njombe kwa kilimo cha viazi vinakubali hasa. Yaani ukilima kwa kufuata utaratibu vinatoa kwa ufasaha na kwa wastani kwenye heka moja unatoa gunia ngapi? Yaani hapo mtu akifuata taratibu zote za kilimo husika anatoa gunia ngapi?
Njoo kijiji cha Ujuni Makete au Imalilo Wanging`ombe, Mang`oto au Ibaga Makete, Matenga Makete kote huko ni viazi mtindo mmoja.
 
Mkoa wa hovyo watu wa majungu, uganga, full uchawi sana, wasiotaka wageni wafanikiwe ni wenyewe tu watu wenye roho mbaya na za kwa nini. Huko kuishi mpaka uwe mwenyeji na kufanikiwa kutoka kibiashara uwe mtu wa madawa sana
Pole mkuu,
Nadhani njombe ndo sehemu rahisi sana kwa wageni kuingia na kuwekeza mkuu. Maana kama ni ardhi ipo na inapatikana, hali ya hewa iko vizuri, usafiri 24/7 na biashara zinafanyika day and night. Uchawi upi unaousema wewe ambao haupo mikoa mingine mkuu?
 
Back
Top Bottom