Zitambue fursa za kiuchumi katika Mkoa wa Njombe

Zitambue fursa za kiuchumi katika Mkoa wa Njombe

Mkuu Mk,

Ahsante sana kwa kuleta habari motomoto za maendeleo ya mkoa wa Njombe na wilaya zake.

Ni jambo la kujivunia kwa wapenda maendeleo kama mimi kuona kwamba mkoa wajitahidi mno kujiletea maendeleo kwa kutumia ubunifu maarifa na jitihada dhahiri.

Ila kwa ushauri napendekeza tovuti ya mkoa kuboreshwa zaidi na kila kitu kuwekwa humo ili iwe rahisi kwa wale wawekezaji wa nje waweze kupata taarifa zote muhimu.

Baadae ntapendekeza kuwepo na semina za aina mbalimbali za kuhamasisha.
 
Na hichi ni kiwanda Cha maji kitulo kinacho tangaza vyema hifadhi ya kitulo a,k,a bustan ya mungu kitulo
Gallery4.jpg
Gallery5.jpg
Gallery8.jpg
about-us.jpg
FB_IMG_16766924017339003.jpg
Gallery9.jpg
Gallery7.jpg
FB_IMG_16766940744605328.jpg
 
Back
Top Bottom