Zitambue fursa za kiuchumi katika Mkoa wa Njombe

Zitambue fursa za kiuchumi katika Mkoa wa Njombe

Baadhi ya hotel mkoa wa njombe
caption.jpg

02.JPG

IMG_9917-hm-640x500.jpg

wp7ee2664b_05_06.jpg

-hotel-2263443.jpg

FB_IMG_16732249090088067.jpg

FB_IMG_16684734136059432.jpg
 
Mkoa wa Njombe: Mkoa wa Njombe una Halamashauri 6 ambazo ni Njombe Mjini, Vijijini, Ludewa, Makete, Wangingombe na Makambako.

Wenyeji wa Mkoa wa Njombe 70% ni wabena, ambao wanapatikana Wilaya za Njombe mjini,Vijijini, Makambako, Wangingombe na wakinga-Halamashauri ya Makete na Halamashauri ya Ludewa wapo Wapangwa na wanyasa.

Sifa muhimu za kiuchumi katika Mkoa wa Njombe
  • Ndio Mkoa unaongoza kwa Idadi ndogo ya watu kwa takwimu za awali za sensa ya 2022 Mkoa huo unakadiriwa kuwa na watu 889,946
  • Mkoa wa Njombe ni miongoni mwa Mikoa top 5 iliyo na watu wa vipato vikubwa zaidi kuliko Mikoa mingine.
  • Mkoa wa Njombe-Makambako kuna upepo wa kiwango kikubwa ambao unaweza kuzalisha umeme wa megawati zaidi ya 300
  • Unaongoza kwa uzalishaji wa mbao-Asilimia 60-70 ya mbao zote zinazotumika Tanzania zinatoka katika huo Mkoa-na zinalimwa karibu Halamashauri zote za Mkoa huo.
  • Unaongoza kwa uzalishaji wa zao la viazi mviringo 70% ya viazi vyote Tanzanua vinalimwa huko.
  • Unaongoza katika uzalishaji wa zao LA parachihi Tanzania nzima.
  • Ndio Mkoa unaongoza kwa madini ya Chuma na Makaa ya mawe. Kwa Tanzania akiba kubwa ya madini hayo yapo Mkoa huo na yanapatikana kule Luganga na Mchuchuma Wilayani Ludema.
Sifa nyingine:
  1. Unaongoza kwa wafanyabiashara wakubwa Tanzani a.k.a Wakinga
  2. Ndio Mkoa unaongoza kwa baridi Tanzania nzima hasa Njombe Mjini na Makete
  3. Mkoa wa Njombe ndio Mkoa pekee kwa kipindi cha miaka 5-10 unaongoza kwenye top 3 ya maambukizi ya HIV
  4. Mkoa wa Njombe ina Idadi kubwa ya Wanawake kuliko Wanaume kuliko Mikoa yote Tanzania.
N.B. Kama mtu upo interested kuishi mazingira kama ya Ulaya ulaya yenye baridi na green-Mkoa wa Njombe ndio jibu sahihi. Huko Mbu na nzi ni kama hakuna. Maelezo mengine kuhusu investment opportunities katika Mkoa huo tembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

Umefurahi siyo? Unakaa kujitengenezea takwimu zako? Cheka sasa km zuzu!
 
Kinachotakiwa saizi kwenye huu mkoa ni kuweka barabara njia nne Kipande Cha makambako hadi njombe kutokana na hii Barabara inaunganisha halmashauri zote sita na na kwa Sasa imeanza kuzidiwa kwa kuwa na msongamano hii imepelekea kuwa na trafic light kama nne kipande hicho na msongamano utazidi zaidi utakapo Anza mgodi wa ludewaView attachment 2519973View attachment 2519953View attachment 2519957View attachment 2519971View attachment 2519972
Lud
Kinachotakiwa saizi kwenye huu mkoa ni kuweka barabara njia nne Kipande Cha makambako hadi njombe kutokana na hii Barabara inaunganisha halmashauri zote sita na na kwa Sasa imeanza kuzidiwa kwa kuwa na msongamano hii imepelekea kuwa na trafic light kama nne kipande hicho na msongamano utazidi zaidi utakapo Anza mgodi wa ludewaView attachment 2519973View attachment 2519953View attachment 2519957View attachment 2519971View attachment 2519972
Ludewa tayari Maxcoal kaanza kuchimba makaa ya mawe. Wakenya wanachukua mzigo kila siku
 
Ili kudhihiriasha pesa ipo hata Kasi ya ujenzi wa majengo ya gorofa imeongezeka Sana mkoa wa njombe
IMG_20230113_150512_277.jpg
01.JPG
06.JPG
FB_IMG_16766546296696178.jpg
FB_IMG_16706445158644048.jpg
28468610386_63e10633c4_b.jpg
Hillside-View-592x444.jpg
FB_IMG_16724590538617113~2.jpg
FB_IMG_16755158178720861~2.jpg
 

Attachments

  • IMG_20230113_150512_277.jpg
    IMG_20230113_150512_277.jpg
    414.1 KB · Views: 30
  • 06.JPG
    06.JPG
    45.5 KB · Views: 27
Back
Top Bottom