Lakasa chika7
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 454
- 1,270
kosa la zito ni nini kakaZitto na wewe ni takataka.
Mnaacha kwenda kuzungumzia kichama chenu kwenye huo mkutano wenu na samia mpo busy kujidai mnaongelea CHADEMA.
Pumbavu nyinyi.
Tuliwatuma mzungumzie CHADEMA?
Kabwe ni snitch yuko opposition kifursa tu wnamchana kisa maazimio.Chadema na Lisu mnatakiwa mheshimu mawazo ya vyama vingine. Leo mmeshambulia sana Zito licha ya Zito kuwa mpole lakini hamna adabu.
Zito acha kuwa mpole sana kwa hawa watu.
ebu sikia hapaona jinsi lisu anavyomtusi Zito. Siyo fair kabsa
lisu kulikuwa kuna haja ya kutukana wenzako, kwani maamuzi ya ACT lazima yafananane na Chadema,.
Chadema acheni siasa za chuki
Ni kuacha kuongelea chama chake kwenye mkutano na kuanza kuongelea Mbowe na CHADEMA.kosa la zito ni nini kaka
Tundu is always Honesty hence confidentChadema na Lisu mnatakiwa mheshimu mawazo ya vyama vingine. Leo mmeshambulia sana Zito licha ya Zito kuwa mpole lakini hamna adabu.
Zito acha kuwa mpole sana kwa hawa watu.
ebu sikia hapaona jinsi lisu anavyomtusi Zito. Siyo fair kabsa
lisu kulikuwa kuna haja ya kutukana wenzako, kwani maamuzi ya ACT lazima yafananane na Chadema,.
Chadema acheni siasa za chuki
😅😅😅😅Akikujibu nitagNi kuacha kuongelea chama chake kwenye mkutano na kuanza kuongelea Mbowe na CHADEMA.
Kwani ajenda ya mkutano wenu ulikuwa Mbowe?
Wamemchana liveKabwe ni snitch yuko opposition kifursa tu wnamchana kisa maazimio.
Ndiyo akili za chademaKwa hiyo ninyi wanachadema mkiongozwa na Lissu hamtaki Mbowe aachiwe huru ili muwe na topic ya kuzungumzia?
Zitto na wewe ni takataka.
Mnaacha kwenda kuzungumzia kichama chenu kwenye huo mkutano wenu na samia mpo busy kujidai mnaongelea CHADEMA.
Pumbavu nyinyi.
Tuliwatuma mzungumzie CHADEMA?
Wewe ni kijana takataka.Wewe ndo takataka. Unawezaje kumwita mwenzako takataka kisa hoja ya kawaida kabisa. Kwani wewe Ni chama cha upinzani unataka nini. Kuwa peke yako and then. Ugomvi ndo sifa yenu. Nakuhakikishia. You will never rule TZ as a chama Kama mawazo yenu ndo mnafikiria Ni absolute.
Waskilize wote na uone Nani takataka. Anayekimbilia kutukana. Ndo takataka. Wewe namba one. ZItto Ni Opportunist. Lakini sio wa kutukanwa wala sio kwa hoja yake.
[emoji23][emoji1787]Ccm ni matahira
Umeandika kichawi sana. Andiko lako kuna unafiki mkubwa sana. Tundu Lissu sio mnafiki kasema alipohisi ZItto hakutenda fair na Zito alikubali kua henda alimkwaza Lissu kwa namna alivyowakilisha hoja zake, naa badae wote wakamalizana. Sasa wewe unachoandika hapa ni ufitinishi tu.Wewe ndo takataka. Unawezaje kumwita mwenzako takataka kisa hoja ya kawaida kabisa. Kwani wewe Ni chama cha upinzani unataka nini. Kuwa peke yako and then. Ugomvi ndo sifa yenu. Nakuhakikishia. You will never rule TZ as a chama Kama mawazo yenu ndo mnafikiria Ni absolute.
Waskilize wote na uone Nani takataka. Anayekimbilia kutukana. Ndo takataka. Wewe namba one. ZItto Ni Opportunist. Lakini sio wa kutukanwa wala sio kwa hoja yake.
Ni kierere chakeChadema na Lisu mnatakiwa mheshimu mawazo ya vyama vingine. Leo mmeshambulia sana Zito licha ya Zito kuwa mpole lakini hamna adabu.