Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Lisu ni dikteta mbaya sana, akikamata urais atawaua sana.. mtafungwa sana kwenye viroba...Chadema na Lisu mnatakiwa mheshimu mawazo ya vyama vingine. Leo mmeshambulia sana Zito licha ya Zito kuwa mpole lakini hamna adabu.
Zito acha kuwa mpole sana kwa hawa watu.
ebu sikia hapaona jinsi lisu anavyomtusi Zito. Siyo fair kabsa
lisu kulikuwa kuna haja ya kutukana wenzako, kwani maamuzi ya ACT lazima yafananane na Chadema,.
Chadema acheni siasa za chuki