LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Siasa anazofanya zitto sizielewi kamwe, muda utasema...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri wa lissu Ni kuheshimu Sheria na katibaLisu ni dikteta mbaya sana, akikamata urais atawaua sana.. mtafungwa sana kwenye viroba...
Siasa za zitto Ni za kilaghai na kitapeli, natumaini ya wazanzibar yashazikwa, kaishia kupata vyeo vitatu yaani mawaziri wawili na makamu wa rais, Mambo Ni yaleyaleZitto yuko sahihi! A true politician must be strategic!
Sometimes you have to loose something in order to get something!
Angalieni tamthiliya ya Ertuglu hapo AZAM TWO mngejifunza siasa na uongozi ambako kumejaa unafiki,chuki na uzandiki wa kila aina!
Tundu Lissu, Lema na Lwaitama ni wanaharakati ambao strategies zao haziwezi kuleta matunda !
Kwa msimamo wao tukiacha sheria ifuate mkondo wake issue ya Mbowe inaweza kupata suluhi +ve or - ve baada ya miaka 2 au 3, nani atakuwa loser?!
Kumbe kwa kutumia strategies za Zitto mngepata kusolve issue ya Mbowe within a shorter period and struggles could move on!