Uchaguzi 2020 Zitto 2015 ulikataa UKAWA, why leo utake Coalition?

Fisadi kuu
 

You go and practice your Opposition at home. Opposition and Political parties are inseparable, and they must be considered together.
 
You go and practice your Opposition at home. Opposition and Political parties are inseparable, and they must be considered together.
You look not amused by my comments am fine with that. We don't necessarily need to agree on everything. By bringing your views to this platform you allow a room for divergent views. Don't feel offended to hear something different from your standpoint. Let's stay on the subject don't attack me.

Opposition is nothing more than an alternative idea from the mainstream idea. In essence ideas come from people. Parties are formed to formalize how to mainstream such ideas and parties are again nothing but people. We don't start with parties we start with the fact that there things we don't agree then we form associations and craft such ideas into objectives of our associations. Any accidental or deliberate efforts to obliterate opposition parties will never kill opposing ideas and views in people.

If your look at our history you will learn that Nyerere's views summed up in form of policies had opposition even at at the time we did not have opposition parties. You may agree with me that from the time when political pluralism was allowed to date, parties have exchanged strength. NCCR - Mageuzi was the strongest at the beginning, then Chadema and the rest came into play. CCM is strong as long as it is in power. When it is dislodged it will probably disappear in oblivion yet people will continue to exist and as long people are there new parties with different views and political perspectives will be there also.
 

Zitto ALIFUKUZWA chadema, akaenda hadi mahakamani kupinga kufukuzwa kwake akashindwa. Hivi tunakuwaje wasahaulifu haraka hivyo?
ACT WALIOMBA kujiunga na ukawa, pamoja na tofauti zote waliona umuhimu wa kushirikiana na vyama vingine vya upinzani, lakini maombi yao hayakujibiwa wala hawakupewa ruhusa ya kujiunga ukawa.

Mtu mmemfukuza uanachama, UKAWA mmemtenga hamumtaki, mlitaka afanye nini? akauze mawese Kigoma? au mlitaka aende ccm? 2015 mlimkataa mkamtenga na mlimshambulia sana, akafanya yake. Na hii 2020 haitakuwa tofauti, anataka mpambane pamoja mkimkataa, kumshambulia na kumtenga atafanya yake vile vile, tofauti ni kwamba mwaka huu ana misuli yenye nguvu zaidi kuliko 2015.
 
Nitashangaa sana, CHADEMA iliyokuwa na Wabunge na Madiwani wengi ikiingia kwenye mtego uliotegeshwa na ACT-Wazalendo yenye Mbunge Mmoja na Madiwani kiduchu. That will be the offical death of Opposition in Tanzania.


Hii kauli yako ya mwisho (bottom line) haina mashiko, ni kauli ya kibaguzi na ubinafsi ya; "Ulimwaga ugali jana na mimi leo namwaga mboga".

Unatakiwa uangalie maslahi mapana ya opposition in this time around, you need to bury the dagger.
 
Siasa ndivyo ilivyo, japo Zitto nae haaminiki kutokana na aliyowahi kuyafanya siku za nyuma, binafsi naamini hata kama patakuwa na coalition kati ya Chadema na ACT but mgombea Urais wa Tanzania Bara lazima awe mpinzani, alielelewa upinzani.
Sioni ni jinsi gani CHADEMA wanaweza kutoweka mgombea urais kwa kumtegemea yule wa ACT-Wazalendo. Hii haitawezekana.

Sijui sheria za uundaji serikali ilivyo, baada ya vyama vyote kutopata kura za kutosha kuunda serikali peke yao na kulazimisha muungano wa vyama.

Kama sheria hiyo ipo na inaruhusu vyama kuungana na kupata wingi wa wabunge na kuruhusiwa kuunda serikali, hapo ndipo ninapoona uwezekano wa CHADEMA na ACT-Wazalendo wakiwa na mpango wa kuunda serikali ya pamoja.

Vinginevyo sioni aina yoyote ya muungano kabla ya matokeo ya uchaguzi.
 
Na kwa upepo wa sasa ACT wanaenda kuunda Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni japo ni habari chungu kwa Chadema...Ni swala la muda tu ja
ACT haiwezi kupata wabunge watakaofika robo ya chadema,ni zenji tu ila kwa bara wabunge wa ACT hawatazidi wawili au watatu
 
Ile coalition ya 2015 haitakuwa na tofauti na hii, vyama vilivyo na mtazamo wa pamoja vinaamua nani aweke mgombea, then kingine hakimuweki coz huu muungano huwa hautambuliki kisheria, ni jambo linalotokea tu ambapo huwezi walazimisha ambao hawajamuweka mgombea wamuweke, huo ni utashi wao. Kama walivyofanya TLP kwa Magufuli.
 
Kwenye politics hakuna kitu permanent hakuna sera permanent hakuna misimamo permanent
Ukielewa hii kitu utaacha kuteseka ovyo ovyo
 
Hivyo vyama wakati vinaingia makubaliano wa kuunda UKAWA na Chadema vilijiamini vinauwezo wa kushinda majimboni, hivyo kama wangeshinda nao wangekuwa na ruzuku zao, kuwalaumu Chadema kwa hili huwatendei haki.
Kwa hiyo hata kitendo cha Chadema kusimamisha wagombea katika majimbo waliyokubaliana kuwaachia NCCR na CUF pia wasilaumiwe kwa hilo

Unajua kwanini majimbo ya Lindi Mjini na Segerea yalishindwa kuchukuliwa na upinzani?

Kiufupi Chadema ndiyo kikwazo cha kukua na kufanikiwa kwa upinzani nchini kwa kuwa wanaishi katika historia ya ukubwa hata kama hawana tena matendo ya kikubwa
 
Hapo Segerea 2015 kwanini unawalaumu Chadema na usiwalaumu CUF?!

Kusema CDM ndio kikwazo ni mapenzi yako binafsi tu, na Chadema kuwa chama kikubwa sio sababu wawaachie hao wadogo kila kitu, kwasababu kuna maeneo hao wadogo waliachiwa na bado hawakushinda, kwasababu wagombea wa Chadema walikuwa wanakubalika zaidi.
 
Kuiunga mkono ACT Wazalendo ni sawa na kuondoa upinzani Tanzania. Zitto siku zote ni Mwanasiasa Maslahi Binafsi (super selfish politician). Sijawahi kumwona akipigania maslahi mapana ya umma wa wa-Tanzania. Hata kama Membe atafanya kosa la kujiunga naye mwisho wake utakuwa baada ya uchaguzi ataanza kuomba kurudi CCM.
 

Siasa ni Kusoma upepo tu.
 
Hivi zile movements za upinzani bungeni zimesaidia nini kwa wapiga kura?
 
Siasa ni science, siasa ni upepo. Angalia maslahi ya siasa ya sasa coalition ni tija kwa Chadema?
YAAANI CHADEMA impinge MKONO MEMBE HAAAAALABDA WAMESAHAU ILA CH INAWEZA KUUNGA MKONO ACT ZNZ HILO LIKO WAZI NA NI BENEFIT KWA CDM NA MTEGO KWA ACT MBELE YA WAPIGA KURA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…