BEDO NYALUTOGO
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 1,328
- 194
thibitisheni malalamiko yenu..toeni ushahdi na takwimu ziwe wazi zaidi ya hapo mtakuwa mnaexpress feelings zenu ambazo hatuzipi support coz no evidence...kwani lini mmewah kumjadili kinana kwa tuhma za ujangili? au zungu kwa tuhma za madawa ya kulevya? au mulongo kwakufoji vyeti? tafakari...hatakama unamaslah na ccm leta hoja za kiueledi sio hizi zinazowafanya wanaccm wenzenu wawashangae..
mbowe alihongwa milioni 100 rostam
ninapata wasiwasi kuwa tutahama kwenye ajenda za mhim itakuwa cdm na zito,hv mnajua kwa huu mgogolo wa cdm n kias gan cha fedha kimeibiwa? maana vyombo vya habr vyote vmehamia kwa cdm vs zito! plz let change our ajenda wakuu!
matusi ya zitto ni yapi kusema kwamba hao viongozi wake waliongwa au kumsema mbowe amueshimu mkewe..leo mkuki kwa nguruwe eeeh anavyotukanwa kikwete matusi ya nguoni hayaonekani..hao leo waloamua kumwaga ugali mwenzao kamwaga mboga imekua matusi duuhAMA KWELI FADHILI MBUZI UTAMLA NYAMA.............
Nampa pole sana Mh Freeman Mbowe, mwenyekiti wa Chadema Taifa kwa kutukanwa na kukosewa adabu na kijana mdogo, Msaliti Zitto Kabwe, ambaye leo mafanikio yake yametokana na yeye Mh Mbowe, lakini kasahau na kaamua kukutuna ati wewe ndo kamati kuu!
vile vile nimpe pole Mh Tundu Lissu Mbunge wa Singida mashariki na Mwanasheria wa chama, kwa kuitwa Kifaranga na huyu kijana ----- asiye na Adabu, we mpuuuze kwani leo amewadhihirishia watanzania kuwa hafai hata kuwa Balozi wa nyumba kumi......
Zitto Z Kabwe mpaka sasa hujakanusha tuhuma za kweli kabisa kwamba ulihongwa Magari mawili na Mh mkono iliusimsimamishe mgombea Msoma Vijijini, badala yake uliishia kujitoa ufahamu na kuwatukana Viongozi mtandaoni kuonyesha ulivyofilisika mawazo kama si kufilisika hoja!
Zitto Kabwe amejitoa ufahamu na kudai eti mtu asiyemuheshimu mke wake aliyewazalia watoto wake hawezi kumfundisha mtu maadili.......
Zitto, kabla ujanyoosha kidole kwa mwenzako embu jaribu kujitazama wewe mpaka leo una umri miaka 37 umeshindwa kuoa, na kinacho kusumbua ni uzinzi, embu kumbuka April tukio la aibu ulilolifanya pale Mount Meru Arusha, baada ya kunywa KONYAGI, mbona sisi hatusemi..........
Si jambo jema kujadili misha ya Binafsi ya Kiongozi, kwani hakuna aliye mkamilifu Chini ya Jua.......
SI VEMA MAAMUZI YA KAMATI KUU KUMBEBESHA MH MBOWE NA LISSU PEKE YAO..
Lakini mkuu, tukiweka ushabiki pembeni, hivi inawezekana vipi kwa "chama makini" kama CDM mtu mmoja akaamua kuwekwa au kutokuwekwa mgombea katika jimbo fulani? Hakuna vikao au kamati?...Zitto Z Kabwe mpaka sasa hujakanusha tuhuma za kweli kabisa kwamba ulihongwa Magari mawili na Mh mkono iliusimsimamishe mgombea Msoma Vijijini, badala yake uliishia kujitoa ufahamu na kuwatukana Viongozi mtandaoni kuonyesha ulivyofilisika mawazo kama si kufilisika hoja
.....
Zitto, kabla ujanyoosha kidole kwa mwenzako embu jaribu kujitazama wewe mpaka leo una umri miaka 37 umeshindwa kuoa, na kinacho kusumbua ni uzinzi, embu kumbuka April tukio la aibu ulilolifanya pale Mount Meru Arusha, baada ya kunywa KONYAGI, mbona sisi hatusemi..........
matusi ya zitto ni yapi kusema kwamba hao viongozi wake waliongwa au kumsema mbowe amueshimu mkewe.