Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe
ni kweli ameifuta kwenye wall yake ya facebook... na hapa sijui kama itabaki .. mimi ningependa ibaki tuidiscuss,,,

They must know I am not a push over. Chacha died, I won't. Mtu ambaye hawezi kuheshimu mke wake aliyemzalia watoto hawezi kunyooshea mtu kidole
kuhusu maadili."

hii kauli ndio naitafakari sana jamaa alikuwa anamaanisha nini.. naomba moderators waache tuidiscuss hii..
always nasema jamaa hana washauri wazuri kisiasa..
 
Zito hanatofauti na Juliana Shonza na mwampamba, walipofukuzwa walizusha, walitoa kila aina ya ujinga.

Chadema inasonga mbele lakini kwa kasi ya ajabu vijana hao wanatoweka katika ulingo wa siasa.

Zito ameshapoteza sasa kachanganyikiwa ilobaki arudi ccm akapewe cheo cha mwigulu nchemba.

Atazusha, ataropoka na kujikanyaga lakini chadema haitateteleka bali inasonga mbele
 
Hivi haya ya CAG yapo kwenye Waraka au zile Tuhuma 11 ?

Ila naona Kinataka kunuka, Kwa sisi Watanzania, Tunasema wacha Inyeshe tuone kunapovuja.
 
Ndo aapigania Roho, hakuna kitu hapo, mwisho wa enzi ndo umefikia
 
Zitto hafai kuwa kiongoz, ameonesha ni mtu dhaifu sana ambaye hana uvumiliv na staha ya uongozi. Zito nenda hufai kabisa kuwa kiongoz
 
Tutegemee mengi kuyasikia toka kwa hawa watu,mazur na Mabaya yao pia
 
CHADEMA mabingwa Mh. Mkono kwa inategemea wakati gani, kuna wakati anaitwa fisadi alafu pia kuna wakati ni Mfadhili... haya yote yanatoka kwa vinywa na maandishi ya viongozi wa CDM; Hongereni kwa kuchezea umma wa waTanzania.
 
mmh haya nasubiri episode ya pili mimi,episode ya kwanzan naona imeishia patamu
 
sasa hivi kaamua kuja kiccm kabisa.....jamani kwenye maisha yako fanya vitu vingine lakinisio UNAFKI wala USALITI
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Wanaukumbi.

Kumbe Gazeti letu pendwa la Tanzanzia Daima limeanzishwa na fedha za chama cha kutoka Consevative Party cha Uingereza.

Hizi habari zimekuja kama tetesi lakini bado naendelea na uchunguzi nitawajuza zaidi.
 
Dogo Zitto Network imekata kabisaa ña,hapo ndo. Anazidi kujivuruga ,haya yangekuwepo wasingeyasahau kwenye andiko lao la mkakati wa,mabadiliko 2013.mi nangoja kesho mahakani
 
mbona hata wale rafiki zake masalia ndio kila siku wanaandika huo upuuzi, hili lnadhihirisha tuu kuwa kumbe ni kweli Zitto na akina Shonza, Mwampamba, Mchange, and the likes walikuwa na special mission, but wamefair!

Lakini inasikitisha, pesa itakuwa wamepata but, they are youth, inasikitisha saana, how on earth watu wazima wawatumie vijana na kuangamiza future zao kabisa? Zitto atubu tuu, usaliti hauishiagi hapo, laazima kuna malipo!
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Back
Top Bottom