Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe
Kumekucha tanzania,baada ya kesho mahakama kukata mzizi wa fitina,nadhan hadi april topic itakuwa zzk na chadema,
 
Zitto hajajibu mashtaka kwake kuhusu magari aliyopewa na Mkono. Two wrongs do not make a right.

Hili saga linathibitisha yale niliyokuwa naandika hapa kitambo.

Hakuna Zitto wala uongozi wa CHADEMA, wote ni wale wale tu.

hapo sawa, biblia inasema waache wafu wazike wafu wao
 
Mr. Kabwe, ni bora ukae kimya, namna hii unazidi kujifunua your true colour. kwanini uyatamke haya sasa baada ya kutimuliwa? unapita njia ileile ya kashfa za the rest of masalia group. Too low to you broda.
 
Nashukuru sana Zitto!!... Umethibitisha mwenyewe kuwa magari hayo mawili wewe ulipewa na Nimrodi Mkono!... Bila shaka kuna mengi nyuma ya pazia... Ukitajwa kuficha fedha uswisi utatutajia wengine!!!... Wakifichua ufisadi wako tutathibitisha tuhuma kwa kukiri kwako kiaina.. Pole sana Zitto!..
 
Kwahiyo Tanzania daima ni gazeti ya chama?


Hayo mengine kuhusu makubaliano na Lowassa kuhusu nssf ni kitu gani walikubaliana kama si uzushi?Maana siri za nini tena na keshapigwa chini?
 
  • Thanks
Reactions: DSN
kama zzk alikuwa mwadilifu kwanini hakuyasema haya mapema kwa masrahi ya wana cdm na watz kwa ujumla?kwanini makosa anayodai yalifanyika toka miaka ya 2005 ayaseme leo?nafikiri cdm wameset precedence nzuri,personality haiwezi kuwa juu ya chama hats sikumoja.
 
tanzania daima kwa maana hiyo ni gazet la chama lakin naamin wanaonufaika nalo ni wajanja wachache chini ya miguu ya mbowe
 
another saga na ole wao wamuue bro zitto watakipata cha mtema kuni dadadekh
 
Hakuna cha upinzani hapa wooote ni wachumia tumbo tu. Chama changu ni sehemu inayoniingizia pesa . Sina muda wa kuongozwa na akili ndogo.
 
Kumbe zitto aliyajua haya yote tangu miaka hiyo na akawa mzitto kuyasema sasa hali yake imekua mbaya ndo anaanza kutaja. Hili linaonesha ukweli kwamba na yeye ni fisadi kwani yasingempata yaliyompata hiki anachofumbua sasa tusingekiona milele. Wakati akijaribu kuonesha ufisadi wa Mbowe, kaufunua wake pia.
 
Kwa HIYO NI KWELI aliuza nafasi za Ubunge kwa Pinda, Mkono na Dewji?
 
Dah! Kumbe ndio upinzani wa Mbowe huo! Watu walisema hapa CDM ni kukundi cha wapiga deal tu! Leo tunayaona Mbowe njoo ukanushe huu ufisadi wako dhidi ya cdm.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Vipi wamjadili mfadhili na cdm chumbani mbowe amewekwa na baba mkwe sasa wacha wachote mahela kwanza sema namuonea huruma kibabu slaa cuz hata ile list of shme kapewa na hamad rashid na chadomo kikiangua atakua muflis
 
Back
Top Bottom