MARCKO
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 2,258
- 275
"Chacha died, i won't" says ZITTO. Usalama wa Taifa naomba muamke!
Mbona hii ni Clue ya kutosha kunyanyukia jambo?
Zitto kuna kitu anafahamu kuhusu kifo cha Mh. Chacha . Naomba maramoja abanwe aseme yote!
Mbona serikali ikisikia mtu kauawa Nchi za Nje lazima uchunguzi ufanywe kizalendo?
Sasa kwanini wasifuatilie hili kwa misingi hiyohiyo?
Hakuna kitu kibaya kama damu ya Mtanzania kumwagika bila kujua kilicho sababisha, eti walio hai wakapuuzia.
Narudia tena kuna jambo analofahamu ZITTO kuhusu "CHACHA"
NB: Labda akitudanganya kitaalamu kua "CHACHA" SIO WANGWE TUMFAHAMUYE!