ni kweli ameifuta kwenye wall yake ya facebook... na hapa sijui kama itabaki .. mimi ningependa ibaki tuidiscuss,,,
They must know I am not a push over. Chacha died, I won't. Mtu ambaye hawezi kuheshimu mke wake aliyemzalia watoto hawezi kunyooshea mtu kidole kuhusu maadili."
hii kauli ndio naitafakari sana jamaa alikuwa anamaanisha nini.. naomba moderators waache tuidiscuss hii..
always nasema jamaa hana washauri wazuri kisiasa..
CHADEMA mabingwa Mh. Mkono kwa inategemea wakati gani, kuna wakati anaitwa fisadi alafu pia kuna wakati ni Mfadhili... haya yote yanatoka kwa vinywa na maandishi ya viongozi wa CDM; Hongereni kwa kuchezea umma wa waTanzania.
mbona hata wale rafiki zake masalia ndio kila siku wanaandika huo upuuzi, hili lnadhihirisha tuu kuwa kumbe ni kweli Zitto na akina Shonza, Mwampamba, Mchange, and the likes walikuwa na special mission, but wamefair!
Lakini inasikitisha, pesa itakuwa wamepata but, they are youth, inasikitisha saana, how on earth watu wazima wawatumie vijana na kuangamiza future zao kabisa? Zitto atubu tuu, usaliti hauishiagi hapo, laazima kuna malipo!