Dogo ZZT hawezi kutishwa kitoto namna hii!! Kajipange tena upya!
Mkuu wamepanic hawa yani
Lisu mgonjwa wa akil amtishe zito?hahahah mnatania....mmechokoza nyuki vumilieni maumivu
 
pia
inasemekena ameshauriwa
asikanyage tena JF kuzungumzia
chochote aishie huko facebook

hapo mkuu umeharibu
 

Hii ID imekuwa hacked au ndiyo uwezo wako wa akili ume shrink ti this level. Huyu kweli atakula vya watu na itabila watu wale vya kwako.
 
Wakuu, inasemekana Zitto Kabwe ali-post facebook hii kitu halafu aka-edit later.

Original post:

Revised Post:


Kutoka Gazeti la Raia Tanzania

Mimi nafikiri kwa hili linalotokea kwa zito kabwe sasa hivi....sio busara kabisa kwa yeye kuanza kujibizana kwa kutumia vyombo vya habari na viongozi wa chadema...kikubwa ni yeye zito kutafakari kwa kina wapi amejikwaa aanze tena kwa staili nyingine....
 
kwaiyo pesa za msaada kutoka conservative party ndo chairman kajianzishia gazeti lake huku akijua fika chama hakina hata ofisi na sometyms sebule za watu ndo zinatumika kama office...Mbowe resign Mkuu huu ni upuuzi wako

Kwa Mbowe Chadema ni kitega uchumi tu kama ilivyo Billicanas, huyu jamaa ni fisadi kuliko ata mafisadi wengi tunaowalilia kila siku.Na mtu kama huyu eti anataka awe Rais/Waziri Mkuu??Mungu aepushie mbali..
 

Mh uharo mtupu!, wazee wa kutonywa!
 
Ganzi hivi hujui kama we ni chizi tangu unasoma Meta.
 

asee.......!!!!!! lusi?????!!!!!!
 
Jibuni hili hapa chini kwanza chadema

Ni kweli CHADEMA waliondoa kifungu cha ukomo wa uongozi


Kutoka na maelezo ya Slaa hapo chini yanathibitisha bila shaka kwamba hicho kipengele kiliondolewa. Lakini kutokana na kumbukumbu kadhaa Mnyika amewahi kuja kupinga hapa kwamba hicho kitu hakijawahi kuwepo ktk katiba ya CHADEMA. Na wengine kwenda mbali zaidi kuhoji yule mwenyekiti wa mkoa singinda kuhoji kama ukomo ungekuwepo, ilikuwa je akawa kiongozi kwa mda mrefu.
Soma mwenyewe maelezo ya Slaa hapo chini, na hii ina maana gani hasa ktk uwanja wa siasa?


"Zaidi ya hayo, baada ya kuonyeshwa waraka wa Chama juu ya mabadiliko ya Katiba ya Chama uliotumwa na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama wakati huo Shaibu Akwilombe Julai 2006 unaothibitisha kwamba mabadiliko ya Katiba yaliyoondoa ukomo wa uongozi yalifanywa kwa uwazi na kwa kushirikisha ngazi zote za Chama, Dr. Kitila Mkumbo alikataa kata kata kujadili suala hilo kwa madai kwamba tayari walishapeleka malalamiko yao kwa Msajili wa Vyama vya Siasa."
 
Alikuwa mwanasiasa Shupavu, Mwanaharakati aliyeweka hadi uhai wake lehani kwaajili ya wanyonge.

Vipi leo aonekane aonekane mwovu. Inamaana mpaka sasa Zitto hafahamu alipoangukia?

Ni sehemu moja tu kuchanganya ukweli na uongo. Kukubali kupiginia dili za wachache na kuacha maslahi ya wengi gafla.

Ni vigumu kwa sasa kueleweka ata akiongea nini. Vipi aweke bifu na Tundulisu au Lema kwasababu watu hawa mienendo yao haitii shaka ata kidogo. Je anasababu ya kupambana na watu hawa badala ya kuwasaidia kwenye harakati zao.

Nachoamini sasa na nilichoamini toka Zamani Zitto na Mbowe ni wapiga dili tu na walishirikiana kwenye dili nyingi tu. Na Kwa matukio haya Zitto Lazma akubali uongo na ukweli hauchangamani. Na matendo mchanganyiko kama hayo humchanganya ata Mungu na Shetani nani awe upande wako.

Zitto kubali usikubali usikubali kutumika tena. Tubu na jutia usaliti uliokwishaufanya. Jipange upya. Ukitubu na kujuta Mungu atakuwa upande wako na atakupigania ila ukiendelea na propaganda utabaki mwenyewe.

Pigania haki na ukweli ya Mbowe kama unayo waachie Chadema kuna wazalendo wengi watachunguzana akibainika na yeye ni msaliti atavuliwa tu kila jiwe lazma ligeuzwe
 

Inaonyesha ni jinsi gani na yeye tatizo (zito kabwe) yasingetokea haya ya yeye kumwagika chadema alikuwa anayasema lini haya?
 
Aache kutapatapa hana issue atembee haaminiki tena. Kwanza anachelewa kwenda cccm
 
Hahaha!!!Yaani tyr ushapewa buku 7 lako haya kanywe kiroba!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…