Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe
Dogo ZZT hawezi kutishwa kitoto namna hii!! Kajipange tena upya!
Mkuu wamepanic hawa yani
Lisu mgonjwa wa akil amtishe zito?hahahah mnatania....mmechokoza nyuki vumilieni maumivu
 
pia
inasemekena ameshauriwa
asikanyage tena JF kuzungumzia
chochote aishie huko facebook

hapo mkuu umeharibu
 
Mimi na Juliana ni wanaccm na tunakura pesa ya ccm ila wenzangu mbowe na zitto ni wanachadema na wanakiri kura pesa ya ccm!!! WanaJf Hivi mimi na Juliana na hawa Mbowe na Zitto nani anasaliti mabadiliko!!!!!Kidumu chama cha mapinduzi chama kinachowalea watanzania wote bila kujari itikadi za vyama vyao.

Hii ID imekuwa hacked au ndiyo uwezo wako wa akili ume shrink ti this level. Huyu kweli atakula vya watu na itabila watu wale vya kwako.
 
Wakuu, inasemekana Zitto Kabwe ali-post facebook hii kitu halafu aka-edit later.

Original post:

Revised Post:

Kutoka Gazeti la Raia Tanzania

Mimi nafikiri kwa hili linalotokea kwa zito kabwe sasa hivi....sio busara kabisa kwa yeye kuanza kujibizana kwa kutumia vyombo vya habari na viongozi wa chadema...kikubwa ni yeye zito kutafakari kwa kina wapi amejikwaa aanze tena kwa staili nyingine....
 
kwaiyo pesa za msaada kutoka conservative party ndo chairman kajianzishia gazeti lake huku akijua fika chama hakina hata ofisi na sometyms sebule za watu ndo zinatumika kama office...Mbowe resign Mkuu huu ni upuuzi wako

Kwa Mbowe Chadema ni kitega uchumi tu kama ilivyo Billicanas, huyu jamaa ni fisadi kuliko ata mafisadi wengi tunaowalilia kila siku.Na mtu kama huyu eti anataka awe Rais/Waziri Mkuu??Mungu aepushie mbali..
 
Wana JF

Hali ya kisiasa kwa Mh ZZK itakuwa mbaya zaidi kwa mujibu wa rafiki yangu mmoja wa Lumumba. Wanadai kuwa habari za kupokea rushwa ya magari kwa mheshimiwa zzk hachomoki kutokana na vielelezo mpaka vya picha vipo. Kwa mujibu wa mtoa habari wangu inawezekana ushaidi huu ilivujishwa kwa Lisu na mtu ambaye wanasema ni rafiki wa karibu wa ZZK waliyemtaja kwa jina moja Habib kupitia kwa Mtendaji mmoja mkubwa wa Serikali wa wizara moja nyeti ambaye ndiye aliyemkabidhi Lisu kwa ajili ya kumaliza ZZK. Inasemekana kuwa Lusi amepatiwa na Mtendaji huyo wa wizara nondo ambazo atakuwa anazishusha moja baada ya nyingine kulingana na jinsi zzk atakavyokuwa anajitetea. Mtoa habari anasema jamaa aliingia king muda mrefu na jamaa wamejipanga na wameanza na kakombora kadogo. Inasemekana jamaa wamemshauri ZZK asijaribu kupambana na Lisu ila yeye mara zote apeleke mashambulizi kwa Mbowe. Wamemwambia ati Lisu ni hatari sana kushindananaye, pia inasemekena ameshauriwa asikanyage tena JF kuzungumzia chochote aishie huko facebook.

Mh uharo mtupu!, wazee wa kutonywa!
 
Mimi na Juliana ni wanaccm na tunakura pesa ya ccm ila wenzangu mbowe na zitto ni wanachadema na wanakiri kura pesa ya ccm!!! WanaJf Hivi mimi na Juliana na hawa Mbowe na Zitto nani anasaliti mabadiliko!!!!!Kidumu chama cha mapinduzi chama kinachowalea watanzania wote bila kujari itikadi za vyama vyao.
Ganzi hivi hujui kama we ni chizi tangu unasoma Meta.
 
Wana JF

Hali ya kisiasa kwa Mh ZZK itakuwa mbaya zaidi kwa mujibu wa rafiki yangu mmoja wa Lumumba. Wanadai kuwa habari za kupokea rushwa ya magari kwa mheshimiwa zzk hachomoki kutokana na vielelezo mpaka vya picha vipo. Kwa mujibu wa mtoa habari wangu inawezekana ushaidi huu ilivujishwa kwa Lisu na mtu ambaye wanasema ni rafiki wa karibu wa ZZK waliyemtaja kwa jina moja Habib kupitia kwa Mtendaji mmoja mkubwa wa Serikali wa wizara moja nyeti ambaye ndiye aliyemkabidhi Lisu kwa ajili ya kumaliza ZZK. Inasemekana kuwa Lusi amepatiwa na Mtendaji huyo wa wizara nondo ambazo atakuwa anazishusha moja baada ya nyingine kulingana na jinsi zzk atakavyokuwa anajitetea. Mtoa habari anasema jamaa aliingia king muda mrefu na jamaa wamejipanga na wameanza na kakombora kadogo. Inasemekana jamaa wamemshauri ZZK asijaribu kupambana na Lisu ila yeye mara zote apeleke mashambulizi kwa Mbowe. Wamemwambia ati Lisu ni hatari sana kushindananaye, pia inasemekena ameshauriwa asikanyage tena JF kuzungumzia chochote aishie huko facebook.

asee.......!!!!!! lusi?????!!!!!!
 
Jibuni hili hapa chini kwanza chadema

Ni kweli CHADEMA waliondoa kifungu cha ukomo wa uongozi

Kutoka na maelezo ya Slaa hapo chini yanathibitisha bila shaka kwamba hicho kipengele kiliondolewa. Lakini kutokana na kumbukumbu kadhaa Mnyika amewahi kuja kupinga hapa kwamba hicho kitu hakijawahi kuwepo ktk katiba ya CHADEMA. Na wengine kwenda mbali zaidi kuhoji yule mwenyekiti wa mkoa singinda kuhoji kama ukomo ungekuwepo, ilikuwa je akawa kiongozi kwa mda mrefu.
Soma mwenyewe maelezo ya Slaa hapo chini, na hii ina maana gani hasa ktk uwanja wa siasa?

"Zaidi ya hayo, baada ya kuonyeshwa waraka wa Chama juu ya mabadiliko ya Katiba ya Chama uliotumwa na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama wakati huo Shaibu Akwilombe Julai 2006 unaothibitisha kwamba mabadiliko ya Katiba yaliyoondoa ukomo wa uongozi yalifanywa kwa uwazi na kwa kushirikisha ngazi zote za Chama, Dr. Kitila Mkumbo alikataa kata kata kujadili suala hilo kwa madai kwamba tayari walishapeleka malalamiko yao kwa Msajili wa Vyama vya Siasa."
 
Alikuwa mwanasiasa Shupavu, Mwanaharakati aliyeweka hadi uhai wake lehani kwaajili ya wanyonge.

Vipi leo aonekane aonekane mwovu. Inamaana mpaka sasa Zitto hafahamu alipoangukia?

Ni sehemu moja tu kuchanganya ukweli na uongo. Kukubali kupiginia dili za wachache na kuacha maslahi ya wengi gafla.

Ni vigumu kwa sasa kueleweka ata akiongea nini. Vipi aweke bifu na Tundulisu au Lema kwasababu watu hawa mienendo yao haitii shaka ata kidogo. Je anasababu ya kupambana na watu hawa badala ya kuwasaidia kwenye harakati zao.

Nachoamini sasa na nilichoamini toka Zamani Zitto na Mbowe ni wapiga dili tu na walishirikiana kwenye dili nyingi tu. Na Kwa matukio haya Zitto Lazma akubali uongo na ukweli hauchangamani. Na matendo mchanganyiko kama hayo humchanganya ata Mungu na Shetani nani awe upande wako.

Zitto kubali usikubali usikubali kutumika tena. Tubu na jutia usaliti uliokwishaufanya. Jipange upya. Ukitubu na kujuta Mungu atakuwa upande wako na atakupigania ila ukiendelea na propaganda utabaki mwenyewe.

Pigania haki na ukweli ya Mbowe kama unayo waachie Chadema kuna wazalendo wengi watachunguzana akibainika na yeye ni msaliti atavuliwa tu kila jiwe lazma ligeuzwe
 
Hakika sikutegemea kuona Zitto anakuja low this much pamoja na kwamba niliamini ni mjinga , mjivuni , limbukkeni, ambaye Elimu yake si msaada .Zitto kwa tuhuma alizozitoa kwa Mbowe kweli nimeshagaa sana .Zitto aliuwa wapi kuyasema haya ? Zitto hata mimi menyewe najua ulipewa magari na mkono na ukaja nayo Kigoma na mojawapo ni double cabin mpya .Zitto kabla ya kumtukana Mbowe na kuzusha tueleze kwanza kama hukupewa magari watu waweke ushahidi .Kkwa ajili yako ndogo Mkono amekuwa wazi na alisema hili si mara moja kwamba anataka Chadema iwe na nguvu .Kwa mfano hawakuwa na Mbunge kwenye eneo lakini in the open alipigia kampeni Chadema kwa kuona wagombea wa CCM hawakuwa na sifa .Alisema in the open leteni watu wa kuwatetea kwenye halmashauri .Zitto ametoa tuhuma ambazo baada ya hili kuisha hajui kwamba atakuwa haaminiki tena .Kwa akili matope hii nani wa kukuamini tena siku za usoni maana sote tunajua tutaenda facebook na Twittere kusema tu .Haya umesha toa tuhumaweka ushahidi sasa ili uaminiwe .Ulianza kumchafua Slaa na diliza Lowasa ukaona hazina mashiko umeanza haya .Aibu yako na utashangaa Dunia .

Inaonyesha ni jinsi gani na yeye tatizo (zito kabwe) yasingetokea haya ya yeye kumwagika chadema alikuwa anayasema lini haya?
 
Aache kutapatapa hana issue atembee haaminiki tena. Kwanza anachelewa kwenda cccm
 
Hahaha!!!Yaani tyr ushapewa buku 7 lako haya kanywe kiroba!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom