nani atambike?
cpo huko nilishakombolewa cfanyi matambiko!
hakuna aliyeshikwa pabaya zaidi yake yy aliyekimbilia mahakamani.
kifupi its too leiiiiiit sio mwanachama tena wa cdm icpokuwa kwa mahakama tuuu
Hakuna kitu hapo wewe usiwe kibajaji mkuu,, inshu ya wangwe haiwezi kufanana na ya ulimboka na mvungi mkuu nafikiri yuanze na hizo kwanza,hayo mengine ni kutapatapa tu wewe na zitto wako wote hamna hoja mnhaha tu kutafuta huruma ya wanachama makini wa chadema .Mkuu ata wachangiaji humu nashindwa kuwaelewa! Kwanini wasihoji au kuchangia juu kifo ch Chacha Wangwe Km ZZK alivyozungumza kupata uhalali Wa tuhuma zote za ZZK dhidi ya Mbowe na Cdm?
Maana kwa kauli ya ZZK juu ya kifo cha Wangwe tumepata pa kuanzia!
MKuu haya ni ya kweli kabisa yametokea. inabidi mwenyekiti nae ajiuzuru nafasi yake. niaamini kuna wabunge wengine ndani ya chama walikiwa wanajua lakini wanaogopa kufukuzwa, bt dogo amemwaga unga na mboga naamini wengine watafuata nyayo za zito hawataogopa kufukuzwa wameshatiwa ujasili wa kusema hadharani maovu ya chama, nafikiri huo ndo ukomavu wa chama.
AMA KWELI FADHILI MBUZI UTAMLA NYAMA.............
Nampa pole sana Mh Freeman Mbowe, mwenyekiti wa Chadema Taifa kwa kutukanwa na kukosewa adabu na kijana mdogo, Msaliti Zitto Kabwe, ambaye leo mafanikio yake yametokana na yeye Mh Mbowe, lakini kasahau na kaamua kukutuna ati wewe ndo kamati kuu!
vile vile nimpe pole Mh Tundu Lissu Mbunge wa Singida mashariki na Mwanasheria wa chama, kwa kuitwa Kifaranga na huyu kijana ----- asiye na Adabu, we mpuuuze kwani leo amewadhihirishia watanzania kuwa hafai hata kuwa Balozi wa nyumba kumi......
Zitto Z Kabwe mpaka sasa hujakanusha tuhuma za kweli kabisa kwamba ulihongwa Magari mawili na Mh mkono iliusimsimamishe mgombea Msoma Vijijini, badala yake uliishia kujitoa ufahamu na kuwatukana Viongozi mtandaoni kuonyesha ulivyofilisika mawazo kama si kufilisika hoja!
Zitto Kabwe amejitoa ufahamu na kudai eti mtu asiyemuheshimu mke wake aliyewazalia watoto wake hawezi kumfundisha mtu maadili.......
Zitto, kabla ujanyoosha kidole kwa mwenzako embu jaribu kujitazama wewe mpaka leo una umri miaka 37 umeshindwa kuoa, na kinacho kusumbua ni uzinzi, embu kumbuka April tukio la aibu ulilolifanya pale Mount Meru Arusha, baada ya kunywa KONYAGI, mbona sisi hatusemi..........
Si jambo jema kujadili misha ya Binafsi ya Kiongozi, kwani hakuna aliye mkamilifu Chini ya Jua.......
SI VEMA MAAMUZI YA KAMATI KUU KUMBEBESHA MH MBOWE NA LISSU PEKE YAO..
Hivi haya ya CAG yapo kwenye Waraka au zile Tuhuma 11 ?
Ila naona Kinataka kunuka, Kwa sisi Watanzania, Tunasema wacha Inyeshe tuone kunapovuja.
kinachomsumbua zitto sio kingine bali wivu dhidi ya mbowe,zitto anatamani sana kuitwa kamanda wa anga.....ila amesahau hayo yote yametokana na ubunifu wa mbowe....kwa yote niliyosikia kuhusu mbowe kamanda wa anga bado nina imani naye kwakuwa kipindi chote cha uongozi wake chama hakijawahi kushuka😛eace:
Punguka mihemko.... wamemwaga mboga naye kamwaga ugali.. tatizo liko wapi? Pipooooooz!!! GONGO FC UFIPA.
Hamjachoka tu?Huu ndo ukweli,kwanza katika hali ya kawaida utoe Rushwa halafu unawezaje kusema hadharani?
TL mbowe kakupoteza na hiwezi siasa
ZZK siku akianza mipasho mtakimbiana CDM kwa sababu anazijua issue zenu kuanzia A to Z
Nilidhani wewe ni binadamu kumbe ni mtu tu eti chausiku hasara iliyoje kwa ndugu na rafiki zako waliyoipata kwa kuwa wewe chausiku.
Huyu Nimrod Mkono alikuwemo katika list ya mafisadi iliyowekwa hadharani na Dr Slaa pale mwembechai. Hivi huyu Mkono kama angekuwa ana ushahidi wa kuonyesha undumilakuwili dhidi ya Dr Slaa na Mbowe kweli angeshindwa kufanya hivyo miaka yote hii!? Kwanini hiki Kirus kama kulijua uchafu huu miaka yote hii kikae kimya hadi kilivyoadhirika ndio kianze kubwabwaja!? Mkono ni lawyer aliyebobea kama ana ushahidi wa kina kuthibitisha maneno ya mhaini kuhusu hizo milioni 40, milioni 200 za kutoka kwa Mkono na milioni 100 za kutoka kwa Rostam basi auweke hadharani.
Kwa tuhuma hizi nzito alizozitoa mh. Zitto Kabwe dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema mh. Freeman Eikaeli Mbowe, Chadema inabidi ijibu coz its very serious na wakikaa kimya ina maana yanayosemwa na mh. Zitto dhidi ya mh. Mbowe ni ya kweli...basi Chadema haitakuwa na locus standi ya kunyooshea watu kwa tuhuma za ufisadi na michezo michafu...tunamtaka mh. Mbowe atoke kukanusha au tuziamini.