[h=5]Zitto Kabwe[/h]Yesterday via mobile · Edited


Waandishi wa habari wanataka Maelezo yangu kufuatia tuhuma lukuki dhidi yangu walizozirejea tena Leo kama kasuku baadhi ya viongozi wa CHADEMA. Jibu langu ni jepesi sana, tuhuma hizo hazipo katika mashtaka dhidi yangu waliyoniandikia wao wenyewe na kunitaka nijibu mbele ya kamati kuu. Kama wanaona tuhuma hizo zina uzito waandike nitoe Maelezo yangu kama mashtaka mapya. Waitishe Baraza Kuu la chama ili lisikie rufaa yangu vinginevyo wakae kimya maana uzushi na kubwabwaja hautawasaidia.


Malicious people are simply manipulative and survive of short term basis. Inspiring people look long term.[/QUOTE]



 
wakati Zitto akiwa mwanachama wa Chadema Dr Slaa alikuwa CCM Mbowe alikuwa anajihusisha na masuala ya disco billicanaz na mpaka sasa slaa anayo kadi ya ccm kwa lengo la cku moja kuja kurudi ccm.


Mbowe na Slaa tunaomba msituhalibie chama ondokeni chadema sisi tutaendelea nayo. Zitto Z Kabwe bado tupo nyuma yako Kamanda
 
[h=5]Zitto Kabwe[/h]23 hours ago via mobile

Wakili Tundu Lissu amenituhumu kuwa nimehongwa magari 2 na mheshimiwa Nimrod Mkono. Mimi ninamiliki gari moja mbili, freelnder ninayotumia Dar Es Salaam na Toyota Carina ninayotumia jimboni. Tuhuma hii haimo katika tuhuma nilizotuhumiwa nazo na kuandikiwa na chama ili kujibu. Kama Tundu lissu anadhani tuhuma hii ana ushahidi nayo wa kutosha aiongeze kwenye tuhuma walizoniandikia ili niweze kujitetea kwenye vikao, vinginevyo ni mipasho tu. Nawapa changamoto Tundu lissu na wenzake kama wana tuhuma Mpya dhidi yangu waniandikie kwa mujibu wa taratibu. Tuhuma nilizo nazo hivi sasa na ambazo nimezikatia rufaa katika Baraza Kuu zinahusu mkakati wa kugombea uenyekiti Taifa na kutaka mahesabu ya chama yakaguliwe na CAG.
 

Huo ni mtazamo wako. Nini kinachokufanya uone ZZK ana tatizo la kisaikolojia??? Au unataka akituhumiwa asijibu?? Kumbuka walioanza kumtuhumu ni kina Lissu na chama chao, yeye ZZK kajibu. Sasa kujibu kwake ndo uone ana matatizo! wewe ndo mwenye matatizo
 

Saisa ni kutafuta kuchuma nimeamin..............hakuna mwanasiasa mkweli na kuu ndo ukweli......
 
Jina lako lenyewe ni Ugonjwa wa Ng'ombe sijui tukusaidiaje zaidi ya kukupiga sindano za Ng'ombe.
wala usihangaike na kimetah,kawasaidia na mshauriane huku mnakunywa izo za kwenye avatar yako chambowe wenzako namna ya uongozi!
 

Hapo umesema. Slaa amewahi kuwa CCM, kina Lissu, Mbowe n.k, lakini ZZK toka anapevuka na kujiunga na mambo ya siasa akiwa 16 yrs old kaanzia upinzani. Hajawahi kushika kadi ya ccm au chama kingine. Sasa nani hapa mpinzani wa kweli???
 
dah chademo vs zzk kwel jesh la m2 mmoja ulikuwa wapi cku zote wangu but najua ulikuwa katika mpango wa kuwapoteza wameshtuka mapema wakaamua kukuchafua ila jtahid napenda mtu mwenye hoja kama zako penye ukweli uongo hujitenga
 


Vizuri!

Lkn Mkuu ata Km unafatilia Siasa za Tz na kimataifa ndio ulinganishe Cdm na NCCR? Nina Mashaka na ufatiliaji wako Wa Siasa!

Cdm wako vizuri kuliko vyama vya upinzani vyote Tz! Sio Km naongelea mapenzi hapana!

Tulikua na NCCR MAGEUZI. Haikudumu na mpk saizi sielewi Km wanamkakati ata Wa kuja kuongoza nchi!

Cuf na wao wakaja, kosa Alofanya Morgan Tsavangirai Wa Zimbabwe ndo wamefanya Cuf kwa upande Wa Znz! Na wamekosa nguvu Na ukosoaji Wa serikali Kwakua na wao ni miongoni mwa serikali!

Cdm wamefanya kazi kubwa sn! Ni chama ambacho kimewafanya watz angalau kujua haki zao na kuweza kutoa maoni Yao kwa uhuru bila wonga! Ni chama ambacho kina uwezo Wa kushika dola na kuongoza nchi!

Sasa ukiniambia kua uongozi ni Wa Cdm ni shida na ndio wametutoa chini mpk hapa nashindwa kukuelewa!
 
nimependa njia uliyoitumia coz ulitaka ku2mia sabuni just chukua matope wapake alafu kila m2 akajisafishe kivyake achana na huyo mini kabang deal na hao wakubwa
 
"Muulizeni Zitto awaambie nilipomtoa"
magugu yakikua pamoja ngano mwisho wa siku magugu yatagundulika tu. Leo tumetambua magugu na tumeyaondoa kwahyo tutegemee mavuno mengi na mazuri.
 
..........Kuna zile methali zinazopsema .. siku ya kufa nyani miti yote hutereza ......
 
Kumbe kweli huyu jamaa mjinga ee! alikuwa wapi asiyaseme haya!! kama aliona no tatizo?? anazidi kujiumbua tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…