Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe
Ndugu MBUSHI, umepotoka,

Iliyo mpa chati Zitto ni hoja au ziara? Ile hoja iliyosababisha Zitto kusimamishwa ubunge ndio iliyokipa CHADEMA umaarufu, wengi wetu tulikua hatukijui. ila baada ya Zitto kutoka na ile hoja. Na CHADEMA wakatumia ile turufu ya Zitto kupata umaarufu. Kwa minajili hiyo Zitto ndiye aliyeibeba CHADEMA na sio CHADEMA kumbeba Zitto.
Asante.
 
Si siri kua Mpaka sasa Bado CHADEMA Ni Chama kikuu cha Upinzani Tanzania,Kwa vyovyote vile Watanzania wanakiangalia chama hiki kwa jicho pevu kama Chama cha Matumaini,Chama cha Ukombozi kwa Wanyonge,Kimejitahidi kwa kiasi kukubwa sana kuongoza Harakati za Kuufungua umma kuelekea Ukombozi wa kifikra ,kiuchumi,kijamii na kisiasa kupitia Bungeni na Kwenye Majukwaa mabalimbali hasa kupitia Wabunge wake ambao kwa kiasi kikubwa ni Makini.
Kufuatia Mgogoro uliopo sasa kati ya Mh.Zitto na CHADEMA Kupelekea Kuibuliwa tuhuma lukuki na Mh.Zitto ambazo nisingependa kuzirudia hivyo imepelekea Wananchi na Wapenzi wa CHADEMA Kuanza kukanganyika.
Tunafahamu kua Mh.Mbowe ni Mtu Makini na Kamwe hatuamini kama kweli Tuhuma zilizotolewa na Mh Zitto kupokea Pesa Lukuki kutoka kwa Makada wa CCM Ni za kweli.Mpaka sasa tumefahamishwa kua Mh.Mbowe amejibu tuhuma kupitia Gazeti moja lakini Bado haitoshi kuamini majibu yale ni ya Kamanda Wa Anga Mh.Mbowe tunaemjua ,Hivyo tunatoa wito kwake ajitokeze kwenye Media kuwaeleza Wananchi kama ni kweli Ili umma usiendelee kukanganyika kiasi hicho.
Hata kama majibu yale aliyatoa mwenyewe tunaomba ajitokeze tena aelezee kwa Undani ili Jamii ipate taarifa za Kweli na Hakika zaidi.
Naomba kuwasilisha.
By Mwananchi Huru!
 
kubwa zaidi tunalotaka maelezo ni lile la kulala na mbunge wa viti maalum dubai. halo ndio hasa linahitaji maelezo
 
Ni wazo zuri sana hilo mkuu. Ada ya mja hunena,muungwana ni vitendo. Tunahitaji kauli thabiti toka kwake mapema iwezekanavyo maana tunazidi kuvurugwa mitazamo yetu.
 
Aanze na ile sakata ya kubadilisha safari ya mbunge wa viti maalumu kutoka NY ili wakutane Dubai kwa mambo yaleeee!
 
mleta mada naona uaanza kuwa msaliti muda c mrefu utamfuata zito - katiba yetu ibara ya 007 inasema ni MARUFUKU mtu yeyote kuhoji viongozi wakuu wa chama!
sasa we endelea tu..........
 
Wana JF,
Kama kuna jambo ambalo binadamu wa kawaida akiliona atashangaa basi ni haya anayofanya Zitto ndani ya Chadema!
Zitto Kabwe ni kiutuko ndani ya siasa!
Mwaka 2010 wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais pale Jangwani Zitto aliingia mitini.Kwa kumlea Mwenyekiti akasema Zitto amepewa jukumu la kufanya uzinduzi Kigoma, hakuna alichofanya Zitto.

Kwenye uchaguzi mdogo wa Igunga Zitto hakukanyaga...Dr. Slaa kwa kumlinda akasoma ujumbe ambao Zitto alipost facebook kuomba wanaigunga wamchague Kashindye!
Uchaguzi mdogo wa Arumeru hakwenda kabisa na badala yake akiwa Kigoma akatangaza kuwania Urais mwaka 2015 huku akijua (kutokana na katiba ya sasa) hana sifa ukiangalia umri!

Kwenye tukio la bomu mkutano wa Chadema Zitto alitoka Dodoma akakimbilia Dar!! Haya yote anayafanya akiwa kiongozi wa Chadema!!!

Zitto leo anatukana watu waliomlea kupitia mitandao ya kijamii!!
Zitto ni binadamu wa aina gani?

Zitto amewahi kupata kashfa nyingi lakini Mbowe amekuwa akimshauri, leo anamtukana.

Ndugu yangu Zitto; Uenyekiti unautaka umuongoze nani wakati kwenye shughuli muhimu za chama unaingia mitini?
Kama ni urais unataka huku ukijua huna sifa kikatiba mbona hukugombea 2005 na/au 2010?

Zitto ni mfano mbaya sana na hastahili kuigwa!
 
Ukiwa muongo, usiwe msahaulifu! Tazama video kamanda Zitto akitema madini Igunga!
Zitto afunika Igunga - YouTube
 
huyu si mwanachadema. Ni gamba maana katba inasema mtu akipeleka mahakaman mambo ya chama itakuwa imekula kwake
 
na huu utafutwa fasta..
leo Zitto ndiyo moderator wa Zamu..

CC: Mungi
 
Last edited by a moderator:
Kaka asante sana kwa uchambuzi uliotulia. Ki ukweli Zito ni mvurugaji wa chadema tangia 2007. Anajipambanua kuhujumu chama na kudharau wengine hasa wanaomsaidia. Amekukuwa muongo, anayeaingizia na msaliti kwa mda mrefu. Najua jeuri yake ni CCM na sasa tumeamka Chadema.

Wana JF,
Kama kuna jambo ambalo binadamu wa kawaida akiliona atashangaa basi ni haya anayofanya Zitto ndani ya Chadema!
Zitto Kabwe ni kiutuko ndani ya siasa!
Mwaka 2010 wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais pale Jangwani Zitto aliingia mitini.Kwa kumlea Mwenyekiti akasema Zitto amepewa jukumu la kufanya uzinduzi Kigoma, hakuna alichofanya Zitto.

Kwenye uchaguzi mdogo wa Igunga Zitto hakukanyaga...Dr. Slaa kwa kumlinda akasoma ujumbe ambao Zitto alipost facebook kuomba wanaigunga wamchague Kashindye!
Uchaguzi mdogo wa Arumeru hakwenda kabisa na badala yake akiwa Kigoma akatangaza kuwania Urais mwaka 2015 huku akijua (kutokana na katiba ya sasa) hana sifa ukiangalia umri!

Kwenye tukio la bomu mkutano wa Chadema Zitto alitoka Dodoma akakimbilia Dar!! Haya yote anayafanya akiwa kiongozi wa Chadema!!!

Zitto leo anatukana watu waliomlea kupitia mitandao ya kijamii!!
Zitto ni binadamu wa aina gani?

Zitto amewahi kupata kashfa nyingi lakini Mbowe amekuwa akimshauri, leo anamtukana.

Ndugu yangu Zitto; Uenyekiti unautaka umuongoze nani wakati kwenye shughuli muhimu za chama unaingia mitini?
Kama ni urais unataka huku ukijua huna sifa kikatiba mbona hukugombea 2005 na/au 2010?

Zitto ni mfano mbaya sana na hastahili kuigwa!
 
Waliomlea nyoka ndio wawajibike!!!!!!

Au kweli ni waalaghai???!!!Kwa nini walikuwa wanahadaa wananchi sasa???!!!!
Viongozi kusimama mbele ya wananchi na kusema uongo ni utovu wa nidhamu!!!!!Unawaaibisha viongozi wako kuliko kumchafua Zitto!!!

Yaaani sasa mnaandika hata bila kufikiri!!!!!!
 
Hizi habari nyengine bhana!
Kama hauwezi kuweka link, afadhali ungenukuu hayo matusi!
Sio unatoa historia!
 
Mimi Ninachojua Ni Kwamba ZZK Alikuwa Na Majukumu Mengi Sana Ya Kitaifa. Sasa Ccm Wakawa Wanampa Kazi Na Kumbana Sana Ili Asishiriki Katika Oparation Za Chama. Kwa Kuwa Ni Mtaifa Zitto Hakuwa Na Jinsi, Aliweka Uchama Kando Na Kulitumikia Taifa. Lakini Kumbe CCM Walifanya Hivi Ili Kumpunguzia Ushiriki Wake Katika Shughuli Za Chama. Mfano Wakati Kamati Kuu Ilipo Keti Zito Alitumwa Sudani, Lakini Alirudi Na Kuhudhuria Usiku Huo Huo. CCM Inawatu Wanao Fikiria Saaana. Kumkeep Bussy Zito Walitaka Wamchonganishe Na Chadema, Na Leo Hii Wamefanikiwa Chadema Hamuoni! Kwa Sasa Matarajio Ya Kushinda Uchaguzi Mkuu Hayapo Kwa Jambo Dogo Kama Hili! Tunarudishana Nyuma Kwa Kushindwa Kufikiri! Ona Wakaandaa Na Waraka, Hapo Ndo Wakawamaliza Kabisa Na Kukiri Kuwa Zitto Ni Msaliti, Mkimtoa Zitto Direction Ya Upinzani Itageuka 2015, Na Sijui Nilini Nchi Hii Itatulia Na Kuwa Na Upinzani Imara! Labda Ni Hadi Ccm Igawanyike Kama Alivyo Sema Nyerere
 
Zitto ni ngumi jiwe. Mtahangaika kumchafua lakini hachafuliki huyu kijana
 
jana zito asingeshinda usingelialia hivi, amewashika pabaya mnaanza kubweka,
 
Wana JF,
Kama kuna jambo ambalo binadamu wa kawaida akiliona atashangaa basi ni haya anayofanya Zitto ndani ya Chadema!
Zitto Kabwe ni kiutuko ndani ya siasa!
Mwaka 2010 wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais pale Jangwani Zitto aliingia mitini.Kwa kumlea Mwenyekiti akasema Zitto amepewa jukumu la kufanya uzinduzi Kigoma, hakuna alichofanya Zitto.

Kwenye uchaguzi mdogo wa Igunga Zitto hakukanyaga...Dr. Slaa kwa kumlinda akasoma ujumbe ambao Zitto alipost facebook kuomba wanaigunga wamchague Kashindye!
Uchaguzi mdogo wa Arumeru hakwenda kabisa na badala yake akiwa Kigoma akatangaza kuwania Urais mwaka 2015 huku akijua (kutokana na katiba ya sasa) hana sifa ukiangalia umri!

Kwenye tukio la bomu mkutano wa Chadema Zitto alitoka Dodoma akakimbilia Dar!! Haya yote anayafanya akiwa kiongozi wa Chadema!!!

Zitto leo anatukana watu waliomlea kupitia mitandao ya kijamii!!
Zitto ni binadamu wa aina gani?

Zitto amewahi kupata kashfa nyingi lakini Mbowe amekuwa akimshauri, leo anamtukana.

Ndugu yangu Zitto; Uenyekiti unautaka umuongoze nani wakati kwenye shughuli muhimu za chama unaingia mitini?
Kama ni urais unataka huku ukijua huna sifa kikatiba mbona hukugombea 2005 na/au 2010?

Zitto ni mfano mbaya sana na hastahili kuigwa!

poor analysis. Humjui zitto ila unajaribu kutunga ndoto za abunuwasi hapa. Zito ana akili kuliko viongozi wote wa chadema
 
ZZK amempiga chini ya mkanda DJ MBOWE sasa watetezi wake mnaona alivyobaki uchi, na tunayo mengi ya MBOWE tunasubiri muda mwafaka , 2014 mtaisikia na SACCOS yenu yenye viongozi makengeza na VIBABU wazinzi.
 
Back
Top Bottom