Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitto anajua Samia alikuwa Makamu wa Rais na anawajibika?
Hako ni kakikundi ambacho sio kinatafuta haki bali visasi vyao. Kuna watu wamelengwa, wanasahau awamu ya 5 kafa mtu mmoja tu! System nzima ni ile ile zaidi ya ku change positions.
Maloto katangulizwa kama kawaida. Watu wanawachora tu.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Ukweli gani kamanda?Si utulie tu, au unaogopa kusikia ukweli utakao kuumiza?
Mahakama bado ni za ccm hofu yako ni nini?Ukweli gani kamanda?
CCM hawajiamini.Mahakama bado ni za ccm hofu yako ni nini?
Zito anajua mengi sana
Naamini atakuwa amesahau, tumsubiri kidogo akumbuke halafu tumuone atakuja na maoni gani.Zitto anajua Samia alikuwa Makamu wa Rais na anawajibika?
Ujweli halisi,na huyo liquiman hiyo inaweza kuwa bahasha ambayo itamgharimu sana!Hako ni kakikundi ambacho sio kinatafuta haki bali visasi vyao. Kuna watu wamelengwa, wanasahau awamu ya 5 kafa mtu mmoja tu! System nzima ni ile ile zaidi ya ku change positions.
Maloto katangulizwa kama kawaida. Watu wanawachora tu.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Mnaleta tabia ya kufunga watu midomo kwasababu za kimahaba kwa wale muwapendao, upande wa pili nao wakiguswa kwa maoni wanayoona yanamkera mama yao nao wanasema fulani amenunuliwa, hii sio sawa.Hako ni kakikundi ambacho sio kinatafuta haki bali visasi vyao. Kuna watu wamelengwa, wanasahau awamu ya 5 kafa mtu mmoja tu! System nzima ni ile ile zaidi ya ku change positions.
Maloto katangulizwa kama kawaida. Watu wanawachora tu.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Lakini tuulizane na tuambizane ukweli.Oops, usiongee ukweli, ukweli hautakiwi, watu wanasahau hata Samia wao alisema kwamba Askari wao hawezi kukosea kwa maana ya waliompiga Tundu risasi, kama wangekuwa ni askari wa Serikali wasingemkosa bali angemalizwa, alisema Samia lkn wanamuona Malaika!
Rais ana kinga mkuu.Zitto anajua Samia alikuwa Makamu wa Rais na anawajibika?
kwamba bwana John POMBE MAGUFULI ALIMUUA NDG BEN SANANE PALE IKULU BAADA YA KUMPIGA RISASIUkweli gani kamanda?
Aliogopa nn kufungua kesi sasaZito anajua mengi sana
kwamba bwana John POMBE MAGUFULI ALIMUUA NDG BEN SANANE PALE IKULU BAADA YA KUMPIGA RISASI
Kwamba kulikuwa na kikundi kilichoitwa vijana wazalendo wa kitanzania kikifanya shughuli zake pale sayansi na kwamba kiliongozwa na bwana msigwa. na kwamba hata ule ujinga wa musiba na kupigwa risasi Lisu viliratibiwa hapo
We kuweza kufungua kipindi cha JIKONO JANDAMA? Ujitaki?Aliogopa nn kufungua kesi sasa
Kwani ametetea Samia hapo?Zitto anajua Samia alikuwa Makamu wa Rais na anawajibika?