Zitto acha kutafuta kiki, mbona hukushitaki hao washirika wako CCM leo unashoboka?

Zitto anajua Samia alikuwa Makamu wa Rais na anawajibika?

Oops, usiongee ukweli, ukweli hautakiwi, watu wanasahau hata Samia wao alisema kwamba Askari wao hawezi kukosea kwa maana ya waliompiga Tundu risasi, kama wangekuwa ni askari wa Serikali wasingemkosa bali angemalizwa, alisema Samia lkn wanamuona Malaika!
 

Si utulie tu, au unaogopa kusikia ukweli utakao kuumiza?
 
Ujweli halisi,na huyo liquiman hiyo inaweza kuwa bahasha ambayo itamgharimu sana!
 
Mnaleta tabia ya kufunga watu midomo kwasababu za kimahaba kwa wale muwapendao, upande wa pili nao wakiguswa kwa maoni wanayoona yanamkera mama yao nao wanasema fulani amenunuliwa, hii sio sawa.

Hii tabia ya kukwepa uwajibikaji na kuingilia uhuru wa wengine kutoa maoni yao ikomeshwe, ila kama mna ushahidi fulani amenunuliwa mnakaribishwa kuuweka hadharani, ili tusitengeneze taifa la waoga na walalamikaji.
 
Lakini tuulizane na tuambizane ukweli.
Wewe unaamini Serikali inaweza kumiliki wadunguaji wa aina Ile?
 
Ukweli gani kamanda?
kwamba bwana John POMBE MAGUFULI ALIMUUA NDG BEN SANANE PALE IKULU BAADA YA KUMPIGA RISASI
Kwamba kulikuwa na kikundi kilichoitwa vijana wazalendo wa kitanzania kikifanya shughuli zake pale sayansi na kwamba kiliongozwa na bwana msigwa. na kwamba hata ule ujinga wa musiba na kupigwa risasi Lisu viliratibiwa hapo
 

Waache wajitoe ufahamu wakati kila kitu kipo wazi ,USA wana data zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…