Zitto acha kutafuta kiki, mbona hukushitaki hao washirika wako CCM leo unashoboka?

Muda nimwalimu mzuri, tusubiri tuone.
 
Sio kwamba watu wanamchukia zito ila hawamuamini kwenye ishu zenye maslahi na jamii. Hatabiriki kiufupi, anaweza kuwauza.
 
Naunga mkono. Kesi kufika tu mezani kwa Mahakama hata kama haitafika mwisho ni ushindi
Hapana. Kufungua kesi ni ishu ndogo. Kesi hii inatakiwa isimamiwe kikamilifu mpaka mwisho hukumu ipatikane.

Kesi bila ya hukumu haina maana.
 
Kumbe?

Safi sana hii
 
Endelea kujiuliza kwamba pia kwa kutoa hizo camera si inafanya serikali ndio ihisiwe kuhusika sasa ina maana serikali yenyewe haikujua hilo kwamba itahisiwa yeye?
 
Kwahiyo Unaaanisha bado hatari za kuteka na kuua watu zipo vilevile watu wasijaribu kudai haki?
 
Sasa kwa nini Zitto hamsemi? Anafanya kama rais wa sasa hakuwepo kabisa kwenye serikali hiyo?

Hamsemi labda anajua kilichokuwa kinaendelea kwenye serikali iliyopita ,maana jiwe alijitanabaisha ni "Serikali yangu ya Magufuli" means ilikuwa one-man show.
 
Endelea kujiuliza kwamba pia kwa kutoa hizo camera si inafanya serikali ndio ihisiwe kuhusika sasa ina maana serikali yenyewe haikujua hilo kwamba itahisiwa yeye?
Soma tena post yangu, awamu ya 5 walikuwa hawana akili
 
Kuwajibika? Tunataka uwajibikaji? Au tunachagua wa kuwajibika? Hili jukwaa siku hizi gumu sana. Basi tusubiri hiyo kesi tuone .....

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Sioni ugumu wa hili jukwaa.

Tatizo thinking yenu imetawaliwa na hisia sana kwa wale muwapendao, hamtaki waguswe, wakiguswa mtatafuta sababu zozote hata zisizo na ushahidi ilimradi muwatetee..

Hili sio tatizo lako pekee, nimeliona hata kwa wenzio, nao huangaika kumtetea mama yao hata kwa sababu zisizoeleweka, za kihisia tu...
 
Umewasahau na wenye kuongozwa na hisia za chuki.
 
Umewasahau na wenye kuongozwa na hisia za chuki.
Sijawasahau, mpaka sasa utafiti wangu unanionesha, wale wenye hisia za mahaba hutafsiri chuki vile wapendavyo hasa wakiona wampemdae anapingwa, ndio huwapachika wapingaji jina la chuki.
 
Sijawasahau, mpaka sasa utafiti wangu unanionesha, wale wenye hisia za mahaba hutafsiri chuki vile wapendavyo hasa wakiona wampemdae anapingwa, ndio huwapachika wapingaji jina la chuki.
Ila suala la wenye chuki lipo na lipo wazi sana, sio wote ila wapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…