Zitto acha kutafuta kiki, mbona hukushitaki hao washirika wako CCM leo unashoboka?

Sio Wanazi wote walihukumiwa katika Nuremberg trials. Waliohukumiwa ni waliohusika na mauaji. Kuna watu katika utawala wa Hitler walijaribu hadi kumuua.
 
Hii yote ina maana kwamba makamu anasubiria tu kupangiwa majukumu na mkuu wake. Sasa shughuli itakuwa kuthibitisha ni majukumu gani alipangiwa amsaidie Rais wakati huo akiwa makamu. Hakuna mwanasheria atataka kujihusisha na kesi dhaifu kama hii.
 
Sio Wanazi wote walihukumiwa katika Nuremberg trials. Waliohukumiwa ni waliohusika na mauaji. Kuna watu katika utawala wa Hitler walijaribu hadi kumuua.
Sawa.

Sasa hapa unasema nini? Samia alijaribu kumuua Magufuli?

Samia alikuwa number two wa Magufuli. Number two wa Hitler hakutafutwa kushitakiwa kwa makosa ya Nazi?
 
Hii yote ina maana kwamba makamu anasubiria tu kupangiwa majukumu na mkuu wake. Sasa shughuli itakuwa kuthibitisha ni majukumu gani alipangiwa amsaidie Rais wakati huo akiwa makamu. Hakuna mwanasheria atataka kujihusisha na kesi dhaifu kama hii.
Samia hakujua watu wanauawa na kupotea?

Yani, hapa utetezi wako ni kama serikali haikuhusika. Na hata kama serikali haikuhusika, ina lawama za uzembe kuachia mauaji yaendelee bila hata kuyadhibiti au kuhukumu wauaji nchini.

Kama serikali imehusika tu, Samia anawajibika.

Kama kapangiwa atahusika kwa sababu alipangiwa na kukubali.

Kama hakupangiwa na alijua, atahusika kwa kushindwa kuripoti hata kwa umma, au hata kujiuzulu, na kuzuia mipango hiyo kama whistleblower.

Kama hata hakujua, atahusika kwa kuwa mzembe na kuachia mipango kama hii inaendelea bila yeye kujua.

Hawezi kukwepa lawama hapo.
 
Huwezi kuhukumiwa kwa kutojua uhalifu uliofanyika juu au chini yako na watu wengine.
 
Huwezi kuhukumiwa kwa kutojua uhalifu uliofanyika juu au chini yako na watu wengine.
Unaweza. Kwa uzembe.

Ukiwa meneja wa benki, halafu watu walio chini yako ambao ulitakiwa kuwasimamia wakaiba hela, wewe hata kama hujaiba, unaweza kuwajibishwa na kuhukumiwa kwa uzembe.

Hii ishawahi kumtokea rafiki yangu alikuwa meneja wa benki Dar.
 
Tatizo la watanzania ni usahaulifu na ndio maana CCM na watu wake hawajawahi kuwa na akili,mnasema sheria inafuata mkondo wake kumbe mnalipa visasi,hakika aliyekufa ni mmoja na CCM yote ya akina zitto kabwe imesahau kabisa hatari sana ukiwa na AKILI ambayo haina AKILI ndani yake ni tatizo kubwa.The time will tell,let us wait.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…