Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Out of point.Wazanzibar Uwa wana hofu ya Mungu sana hata kuchakachua matokeo isingekuwa ccm bara wangekuwa wanaachiana utawala kule kwao.
Kwani swala la vifo ni jambo la muungano? Zitto akasome katiba ya Tanzania kama swala la marehemu ni mambo ya muunganoHali inatisha sana!!
Wewe huelewi hata kinachoongolewa. Out of context out of content.Kwani swala la vifo ni jambo la muungano? Zitto akasome katika ya Tanzania kama swala ya marehemu ni mambo ya muungano
Wazanzibari wanatangaza vyao na sisi vyetu asichanganye mambo
Wewe ndie hujui kama zitto Zanzibar wanatangaza vifo vyao kupitia waziri wao Wa afya na sisi tunatangaza vyetu sababu mambo ya vifo sio jambo la muungano.Wewe huelewi hata kinachoongolewa. Out of context out of content.
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh. BBC waliita Tanzania ni an outliers
Ni kweli kabisa mkuu hawana uongo uongo.Wazanzibar Uwa wana hofu ya Mungu sana hata kuchakachua matokeo isingekuwa ccm bara wangekuwa wanaachiana utawala kule kwao.
Mimi kwa sasa Nina mashaka na mananasiZanzibar ina vifo 32 lakini kwa Tanzania nzima vifo ni 16 tu.
Tuendelee kupima mbuzi.
Wanahangaika sana kutumia corona kama mtaji wa kisiasarekebisheni hiyo ripoti yenu ina makosa mengi kiuandishi, mngetumia kiswahili tu mngeweza kuja na hekaya ya kuchekesha zaidi.