Zitto akiwa mwenyekiti; naahidi kuipa CHADEMA kura zangu zote!

Kaka, binafsi nakujua sana. Kwa kutumia ile ID yako nyingine...mara nyingi unasema unawatu wako watatu. CCM unae E.Lowassa,CUF unae Jussa na Chadema unae Zitto. Ok tufanye poa, sasa katika hawa watu 3 ni nani hasa unaemkubali kupita hao wengine wawili.

Mwisho, mara nyingi unapenda kutupia coment tata kwa kutumia hii ID fake na unapotaka kutupia coment za upeo wako na kazi yako unakuja na VU ID. Je ni kwanini unafanya hivi?
 

Hatutaki kiherehere kwenye Chama chetu.....Baki huko huko kwa wauza unga wenzako na magaidi...
 
Last edited by a moderator:
Kama kura yako Hamy-D inaweza kutukosesha ushindi basi na iwe hivyo lakini hata siku moja ccm haiwezi kutuchagulia kiongozi wa Chadema. Na hata mara moja hujawahi kuwa na nia njema na Chadema na hata hiki unachokifanya hapa unakijua kuwa unatafuta kupandikiza chokochoko miongoni mwa wanchadema kwakuwa unatambua nguvu ya Chadema kwa sasahivi, kwahiyo mawazo kama haya u najaribu kuyaleta ili kama itafanikiwa kuleta migawanyiko kwa wanachadema basi nyie ccm mpate kupumua.

Ukweli ni kwamba kiongozi wa Chadema atakayechaguliwa na wanachama wenyewe ndiye atakuwa chaguo lao na wala hakuna cha vikundi wala kikundi cha kuweza kuamua kuwa nani awe kiongozi na nani asiwe.
 

unalipwa kiasi gani mkuu per thread/post!?
 
Last edited by a moderator:
Chadema hawa wanafiki wakubwa.
Zitto hawezi kupewa hiyo nafasi kwani sio mchaga.
 
Mimi hayo ya Wassira siyajui na binafsi sitaki CHADEMA ife, ila ningependa kumuona Zitto akiwa mwenyekiti wa CHADEMA.
mbona ulisema baada ya mgombea binafsi kupitishwa hakutakua na kitu kinachoitwa CHADEMA. wewe ndugu vipi mbona hauleleweki mara hii umeshasahau ulichoongea mda si mrefu kweli ukiwa muongo uwe na kumbukumbu dada.
 
Ni kweli mkuu, binafsi namwamin mh Zito kwa mismamo yake, hili ni jembe sna, tatizo nae kawa mbali mno kwenye ujenzi wa chama!
 
Jamani, huyu mleta mada siyo muislaam, ni mkristu alafu siyo mfia dini I mean siyo mdini hata kidogo. Ila kwa wale ambao hamumfahamu...huyu jamaa ni mfuasi wa mzee Lowassa. Na wanakundi lao ambalo ndani yake kuna wanasiasa, waandishi wa habari kama yeye na baadhi ya wafanyabiashara. So anachokifanya hapa ni kutaka kuwagombanisha viongozi na wanachama wa Chadema kwa maslahi ya mzee Lowassa.

Huyu mtu yuko hapa kikazi kwa maslahi ya mzee Lowassa. Hutaki Unaacha.
 
udini umekujaa. au sabau anandoa na ccm.
 

HAMY-D
Nimelike kwa sababu umempongeza na inaonekana unaikubali sana CHADEMA, harakati zake na viongozi wake. Ahsante hata ubuyu ulianza kama mchicha, wahenga wanasema. Hata hivyo napenda kukumbusha kwamba kuna kitu kinaitwa Working Together Ideology kikichagizwa na Collective Responsibilities.

Ndugu Zitto ni mwana CHADEMA damu, yeye ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA ni sehemu ya uongozi wa juu wa CHADEMA, kama unajua vizuri mgawanyo wa kazi katika nafasi ya ukatibu - utagundua kabisa Katibu katika taasisi iwayo yoyote ni mtu Mkubwa sana na ndiye Injini ya Taasisi husika. Ndugu Zitto amekuwa hivyo, yuko hivyo na ninaamini ataendelea kuwa hivyo (The Engine), kwa hiyo kazi anazozifanya ni kwa mujibu wa nafasi yake lakini pia na kipaji chake.

Nakupa Falsafa moja, wewe unaweza kuwa mzuri sana kwa Nafasi ya Mwenyekiti lakini kamwe usifit kabisa katika nafasi ya ukatibu, usije ukashangaa kwa nini Dr Slaa amewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na sasa hivi ni Katibu Mkuu,,naamini yawezekana kabisa katika nafasi ile alichaguliwa kimakosa na alikuwa hafiti,,si unaona nafasi ya Ukatibu ilivyomfit?
Nataka kukumbusha kuwa tu kwamba hata JK amewahi kuwa Waziri nadhani mdogo wa Nishati na Madini lakini hatukumsikia mpaka alipopewa nafasi ya kuwa Waziri wa Mambo ya nchi za nje, ina maana kwamba the man was much fitting in that position - ni kwa taarifa tu mkuu.
Ndo maana kuna tetesi hata zinasema, Magufuli is a good leader lakini si kwa nafasi ya Urais, nadhani unasikia pia kwamba Ndg Mbowe anafiti sana katika nafsi ya Mwenyekiti wa Chama kuliko Uraisi (hapo nimekukuna). Sasa kiongozi siasa is not done by just a single creature, it is collectively practised - Ukimpenda Zitto huna budi kuipenda CHADEMA na makandokando yake yote.
HAMY-D Shida yako ni kuwa una kitu kinaitwa Personal Hatred (Chuki Binafsi) na Dr Slaa na Mbowe though najua pia wewe ni mnafiki maana unajenga hoja katika mazingira ya kutaka kuugombanisha Uongozi. Sasa unasema eti Zitto akiwa Mwenyekiti, then mfano Mbowe asimame kugombea Urais, wewe na unafiki wako utafanya nini - msimamo wako kwa Dr Slaa na Mbowe tunaujua.

Mwisho nakushauri sana kuachana na Propaganda za kitoto, watanzania washaamka kitambo, ghilba za kijinga na kitoto zishapitwa na wakati, subiri tu kuipigia CHADEMA kura 2015 na jiandae kuishi maisha bora wakati watanzania wote watakapokombolewa kwa mara ya pili kutoka mikono ya damu CCM.

Kajipange utengeneze santuri mpya, hii tumeistukia
 

awezi kukuelewa.
 
Kajiandikishe kupiga kura jimboni kwake, utakuwa na nafasi nzuri saana ya kutimiza ndoto yako.
 
Usituletee ujinga wako mwigulu. Wewe tangu lini ukawa na mapenzi na CHADEMA. Acha unafiki, na usituletee upuuzi wako
 
Nikweli zito ndio alietushawishi vijana wengi kuipenda chadema.Binafsi namkubar sana kabwe.Ukefatilia sana hoja zake bungeni utagundua zito nikiongozi bora.
 
Hizi ndo maada za kuandika HAMY-D sio kila siku unakurupuka ,na nakupa like kwa mara Ýa kwanza

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Yaani huyu rafiki yangu haipiti siku mbili bila ya kumfungulia thread Dr W Slaa tena za kumkashifu tu. lakini hii yote inatokana na kundi lao ambalo wameapa iwe iwavyo watahakikisha mwaka 2015 mzee Lowassa anatinga magogoni.

Hawa wakina Zitto na Jussa anawataja kwa unafiki tu wa kuzuga na kugombanisha watu.

Hutaki Unaacha.
 

Hamy D, kwanza ni muhimu nianze na kunukuu maneno ya Rais Obama alipo fika Ghana kwa mara ya kwanza wakati huo nchi hiyo imetoka kwenye uchaguzi wa kidemokrasia na upinzani ukaingia Ikulu alisema ni "lazima Afrika kujenga taasisi imara na sio watu imara" najua wengi wenu hampendi kuyasikia haya,kimsingi sipingi kazi nzuri anazozifanya Kabwe Zitto hapana la hasha!mie nikujuze tu kidogo yawezekana unajua kimakusudi unapotosha kwanza (1) chadema kama taasisi imejengwa hadi kufika hapo ilipo na viongozi kwa pamoja na ushiriki mkubwa wa wanachama wapenzi,pili(2)Kazi kubwa iliyofanya na wabunge wa cdm wawapo bungeni hasa bunge la tisa ambapo karibia wabunge wa majimbo walikuwa 5,kama sijasahau niwe corrected na viti maalum 6 ndio mazao ya kuitangaza cdm nikutajie baadhi marehemu Chacha Wange,Dr slaa aliyeisimamia serikali,mzee ndesamburo,Arfi,pamoja na zitto kiasi kikubwa wakisaidiana na wabunge mahili kama Halima mdee ambaye sasa ni mbunge wa jimbo,tatu(3)makosa ya ccm hasa kupitia viongozi wao kimsingi kutokana na kukidhiri kwa ufisadi ndani ya taasisi hii ya chama cha mapinduzi imetoa nafasi kubwa kwa wananchi wengi kupoteza imani kubwa kwa vijana waliowengi wakiamini kuwa keki ya taifa inamegwa na wachache,nne(4)Mwanko wa vijana wengi wa sasa kutaka mabadiliko na wanaamini njia pekee ya kuwafikisha huko wanakohitaji ni kupitia cdm,ningekufungua sana upate soma hili lakini natambua unalijua ila unajitoa tu fahamu,mwisho kabisa chadema ni taasisi iliyojiwekea taratibu na katiba imetoa utaratibu jinsi ya kuwapata viongozi kuanzia ngazi ya msingi mpaka taifa si vyema ukijipa cheo cha meneja kampeni kwa watu,na mwisho wa siku wanachama wa cdm watamchagua mwenyekiti wao.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…