BabuFey
JF-Expert Member
- Feb 13, 2023
- 1,659
- 2,913
Kwani hujui magazeti ya Musiba mwanzo yalikuwa yana chapwa na mitambo ya TISS na sio siri.Nimeona mahala Zitto akitamka kwa kujiamini kuwa taifa letu lilifikia pabaya sababu Tiss ilitumiwa na watu wa serikali ili kutukana viongozi wastaafu na waiowastaafu.
Hapa alimaanisha wazi kuwa Tiss walimtumia Musiba.
Tiss ni idara ya serikali na sio mtu. Ni taasisi ya umma ambayo ikichafuliwa kwa tuhuma kama hizi hachafuki mtu bali ofisi ya umma.
Je ni kweli taifa letu linakuwa na idara kama hii ambayo inatumika kutukana viongozi?