Zitto akosoa wasifu wa Membe kuacha uanachama wake ACT-Wazalendo. Alaani walioshiriki kumchafua kupitia magazeti

Kwani hujui magazeti ya Musiba mwanzo yalikuwa yana chapwa na mitambo ya TISS na sio siri.
 
Kwani uongo, hao tiss sio kutumika tu kutukana viongozi, bali ndio walitumika kuharibu chaguzi za nchi hii kipindi chote cha dhalimu. Huo ni ukweli ulio wazi na Zito kausema tu kukazia ukweli huo.
Kwamba alichofanya zito ni kupigia mstari tu?
 
Ni sahihi kbs... Zitto kabwe kwenye hilo yuko sahihi kwa 100% ... Hata kwenye ufisadi unaoendelea hapa nchini pia wanahusika kwa 100%
 
Kwanini Zitto asiwalaumu TISS wanapofanya kazi kwa maslahi ya CCM, badala yake anawalaumu TISS wanapofanya kazi kwa maslahi ya watu binafsi?

Au TISS wakiibeba CCM kwa Zitto sio tatizo kwasababu anajua ana "interest" zake huko, hata hizi shutuma zake kama zingekuwa zimewagusa marafiki zake ndani ya CCM asingesema chochote, ni mnafiki tu.

Makonda alipompiga Mzee Warioba ngumi wakati wa awamu ya rafiki yake, Zitto aliwahi kukemea kile kitendo? Ulimboka kutekwa na kuteswa Mabwepande, Zitto alikua hajazaliwa?!
 
Sasa we hukumuona msiba anawatukana tena kwa kujiamini kabisa na hakuna ambaye alikuwa ana ubavu wa kumkataza? Au clip hujaziona. Hii nayo inahitaji proof. Akiri kisoda
 
Kwani uongo, hao tiss sio kutumika tu kutukana viongozi, bali ndio walitumika kuharibu chaguzi za nchi hii kipindi chote cha dhalimu. Huo ni ukweli ulio wazi na Zito kausema tu kukazia ukweli huo.
Akilizako fupisana, nikipindi gani ambacho uchaguzi haukuharibiwa?.
 
Wewe kushindwa uchaguzi 2020 isiwe sababu ya kumchukia hayati JPM.
Ccm wote walitangazwa kinguvu bila kushinda na proof ni Ile kauli ya jpm kwamba hawezi kumpa mkurugenzi mafuta ya gari halafu atangaze mpinzani
 
Rais hatakiwi kuumbua hao unaosema ni mafisadi au wauza madawa, anatakiwa awapeleke mahakamani sheria ikachukue mkondo wake. Sio kuleta siasa za kiki za kishamba.
Kwani walikuwa hawapelekwi???? Mbona wengi walishitakiwa na ninyi hao hao mkasema walisingiziwa na matokeo yake wengi hao wezi wamerudishwa serikalini waibe na uhakika wizi umeongezeka na rais alikiri. Sasa unataka nini?
 
Katika wanasiasa wapumbavu Tanzania ni Zitto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…