Zitto akosoa wasifu wa Membe kuacha uanachama wake ACT-Wazalendo. Alaani walioshiriki kumchafua kupitia magazeti

Shetani yoyote lazima nimchukue, na hiyo 2020 hakukuwa na uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura, sasa ningeshindwaje uchaguzi?
Hayati alikubalika wewe usingepata ubunge bila kukubalika na hayati ili akupigie debe.
 
Kwani walikuwa hawapelekwi???? Mbona wengi walishitakiwa na ninyi hao hao mkasema walisingiziwa na matokeo yake wengi hao wezi wamerudishwa serikalini waibe na uhakika wizi umeongezeka na rais alikiri. Sasa unataka nini?
Alimpeleka nani mahakamani zaidi ya kuswekwa wafanyabishara aliowachukia gerezani, tena bila kuhukumiwa? Ripoti ya profesa Ossoro aliyosimamia kuiandika ilimtaja Chenge, Yona, Karamagi nk, na akaagiza wakamatwe, je alithubutu hata kuwagusa?
 
Na Zitto akithibitisha mtafanyaje zaidi ya kutia pamba masikioni?
 
Tumwemwona na kumsikiliza wote mwanzo mwisho..

Hakuna mahali kaitaja TISS au Idara ya Usalama wa Taifa specific. Kwanini wewe unajishtukia? Muhusika siyo?

Pengine uanze wewe kuthibitisha kwanza alipotaja TISS otherwise, you are mzushi and muhuni just like those wahuni..!
 
Huyo anahamu ya kwenda kwa Baba
 
Tiss wa mwendo kasi, hao ni wale matiss walioingizwa kipindi cha dhalimu ili kumsaidia kufanya siasa chafu. Na hao ndio walifanikisha kuichafua hiyo idara ili kumfuruhisha dhalimu.
Dhalimu alikugusa matundu yako yote,huna hamu nae
 
Ogopa sana kitu kinaitwa nerve....

Inaregukate hali ya mwili. Ukiipuuza unaparalaizi
 
Alimpeleka nani mahakamani zaidi ya kuswekwa wafanyabishara aliowachukia gerezani, tena bila kuhukumiwa? Ripoti ya profesa Ossoro aliyosimamia kuiandika ilimtaja Chenge, Yona, Karamagi nk, na akaagiza wakamatwe, je alithubutu hata kuwagusa?
dah hii vita vya ki fikra ni ngumu. Sisi wazelendo tunaamini wezi wapo ila ninyi mnaamini walionewa. Ingewezekana mfe wote mnaoshabikia wezi
 
Nadhani unaelewa kuwa zitto ni mwanasiasa mkongwe, anajua madhara yakuongea bila kutafakari kabla. Usimchukulie Poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…