Zitto akosoa wasifu wa Membe kuacha uanachama wake ACT-Wazalendo. Alaani walioshiriki kumchafua kupitia magazeti

Waje wajibu tuhuma. Maana akina Musiba walitamba kana kwamba wameinunua nchi.
 
unataka tupoteze muda kujadili na hili nalo, ambalo hata mtoto wa primary anayo majibu yake?
 
Inasikitisha sana Rais anakubali mwanasiasa anatukana mbele yake Tena kwenye msiba.
 
Tiss wa mwendo kasi, hao ni wale matiss walioingizwa kipindi cha dhalimu ili kumsaidia kufanya siasa chafu. Na hao ndio walifanikisha kuichafua hiyo idara ili kumfuruhisha dhalimu.
Umeshafika Rondo? Vaa sanda sasa
 
Shetani yoyote lazima nimchukue, na hiyo 2020 hakukuwa na uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura, sasa ningeshindwaje uchaguzi?
Na 2025 imekula kwako. Lisu kakataa Nusu Mkate
 
Ajiangalie asije akapotea kwa changamoto za kupumua!
 
Dhalimu alikugusa matundu yako yote,huna hamu nae
Hakuwa na ujanja huo, yule aliyekuwa anazungukwa na askari kibao kama kaingia madarakani kwa kupindua nchi. Angekuwa anajiamini angejitokeza mtaani mwenyewe ndio angefurahia show.
 
dah hii vita vya ki fikra ni ngumu. Sisi wazelendo tunaamini wezi wapo ila ninyi mnaamini walionewa. Ingewezekana mfe wote mnaoshabikia wezi
Nimekutajia kwa majina baadhi ya watu waliotajwa kuhujumu nchi hii, tena kwa ripoti rasmi, na hakuna hatua yoyote aliyowachukulia. Sasa unaniletea porojo za uzalendo, wakati tunajua kipindi cha Magufuli waliokuwa wanajiita wazalendo hawakuwa na tofauti na wajinga.

Niambie hao wezi walichukuliwa hatua gani, acha porojo za uzalendo wa maigizo.
 
Ni kweli TISS ilitumika vibaya na kichaa Magufuli. Musiba alikuwa anachapia gazeti lake la Tanzanite kwenye mtambo wa Mbweni.

Hata kura za FORGERY ambazo mwendazake anadai alishinda kwa 82% zilichapiwa mitambo ya Jamana Printers na kambi ya kupiga tick ilikuwa Mbweni.

Hakuna haja ya kutaka ushahidi kwa ZZK bali ushahidi tunao wananchi!!
 
Yeye mwenyewe anatumika na nani?

Kuanzia kuaribu upinzani hadi kule TANESCO
 
Wakati wa magufuli kulikuwa na kikundi kinaitwa vijana wazalendo wa kitanzania. Kikundi kilikuwa na kina heri James, makonda, Dr abas na msigwa kutaja wachache. Hiki kilikuwa kina ratibu mambo yote mabaya ikiwemo mauaji na utekaji kwa kilichoitwa kuunga mkono juhudi za raisi. Kilikuwa na watu wa TISS. Makao yake yalikuwa pale sayansi. Huyo musiba ni zao la kikundi hiki sikulazimishi ua.ini lakini huo ndiyo ukweli. Hawa wanajua alipo Ben sanane
 
Tiss wa mwendo kasi, hao ni wale matiss walioingizwa kipindi cha dhalimu ili kumsaidia kufanya siasa chafu. Na hao ndio walifanikisha kuichafua hiyo idara ili kumfuruhisha dhalimu.
Wazuri hawafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…