Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ni kujisahau mkuu tabia mpya inataka mazoea....Wabunge wa Tanzania wengi ni wajinga sana jana pamoja na kwamba wanajifanya kusema bungeni hawajali kabisa jana nimekuta na mbunge eti anataka kunipa mkono yaani ananiamini kiasi gani mpaka anipe mkono.
Au bunge livunjwe tu!Ujumbe wake huu hapa chini kupitia twitter:
Wabunge wote mliopo Dodoma muwekwe karantini, mpimwe na mfuatiliwe ( contact tracing ). Minister Mwalimu there shall be no two set of laws - for MPs and for the people. Wabunge watengwe, wapimwe na wafuatiliwe. Tulishauri toka mwanzo kuwa Bunge lisiendelee na vikao. Ni hatari
Hizo ndoa zitakuwa hazina umuhim kama wahusika watakuwa wagonjwa hoi.. nani atahudumia hizo familia?
Zipo nyingi sana mkuu ZoomMetting,GoMeeting au Skype Meeting ni nzuri sana!!!Kwani haiwezekani kuendesha vikao vya Bunge online?