Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Tangu lini ushauri wa wapinzani ulizingatiwa na bunge?Hivi Mdee si alishauri wabunge wote wapimwe,wazo halikutekelezwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu lini ushauri wa wapinzani ulizingatiwa na bunge?Hivi Mdee si alishauri wabunge wote wapimwe,wazo halikutekelezwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
supika tu ajiangalie sana Corona ni mahiiri Kama Messi ndani ya 18 kwenye umaliziaji, haikukosi na haikupi nafasi ya kurudi IndiaHabari kutoka Bungeni Kama ilivotolewa na Naibu Spika Tulia ya kwamba kuna Mbunge mmoja amepatikana na maambukizi ya Covid-19 zinasikitisha,zinatisha na zinanyong'onyesha katika mapambano dhidi ya Covid-19!
Kabla ya Bunge kuanza watu walishaingiliana Bunge liahirishwe kutokana na tishio la Covid-19. Lakini Spika Ndugai alikuja na hoja dhaifu za kuwa ATI Kuna mikakati imara itakayo wahakikishia Wabunge kuwa watakuwa salama wa salimini.
Hata baada ya Bunge kuanza Kuna Wabunge wa Upinzani kina Mh.Mbowe.Lema, Halima Mdee. Mch. Msigwa na Matiko WALISHAURI WABUNGE WAPIMWE KWANZA ILI KUJUA AFYA ZAO KABLA YA KUENDELEA NA KIKAO. Siku zote Wapinzani hata wakiwa na hoja yenye mashiko inawekwa kapuni.
Sasa Basi kwa Hali hii Mhe. Job Ndugai Spika wa Bunge la JMT na Tulia Ackson Naibu wa Spika mpigieni simu Rais Magufuli kumtaarifu kuwa maji yamezidi Unga na Ni LAZIMA BUNGE LIAHIRISHWE MARA MOJA NA WABUNGE WOTE WAPIMWE COVID-19 NA WAENDE QUARANTINE YA SIKU 14.
Nje ya hapo ni kutaka kuliangamiza Taifa kwa UZEMBE ulio wazi na dhahiri na hii mtawajibika mbele za Mungu na Watanzania wote.
Nawasilisha.
Eti kutafuta upenyo wa kuwasemea wananchi [emoji23][emoji1787][emoji2960] si wangetowa posho zao kuwapa wanainchi hata majimboni kwao hawawapi msaada hao wanainchi wao wapo pale kwa ajili ya matumbo yao na mwenyekiti wao Ni mradi wake hao wabunge umesahau anavyo wakata wabunge wake posho zao kwa ajili ya Sacco's yake [emoji1787][emoji23]Ukiacha wabunge wa upinzani ambao Wapo pale kujaribu kutafuta upenyo wa nafaai ya kuwasemea watz.....maccm yapo pale kwa ajili ya posho tuuu........
Sasa hebu washauri waende karantini uone watakavo ng'aka.....
Nini maana ya assemble the assembleman in the AssemblyKwani haiwezekani kuendesha vikao vya Bunge online?
Hatupokei maoni ya wanachadema.Hivi Mdee si alishauri wabunge wote wapimwe,wazo halikutekelezwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hoja zenye mantiki zinazotolewa na wapinzani zinaishia kwenye droo kisa tu ni mpinzan katoa hoja, wakt hoja za ovyo ovyo za kina kibajaji na msukuma ndio zinazopewa kipaumbele na wabunge wa ndio wakiongozwa na ndungaiHivi Mdee si alishauri wabunge wote wapimwe,wazo halikutekelezwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujumbe wake huu hapa chini kupitia twitter:
Wabunge wote mliopo Dodoma muwekwe karantini, mpimwe na mfuatiliwe ( contact tracing ). Minister Mwalimu there shall be no two set of laws - for MPs and for the people. Wabunge watengwe, wapimwe na wafuatiliwe. Tulishauri toka mwanzo kuwa Bunge lisiendelee na vikao. Ni hatari
Wanajifanya kujua kila kituTatizo hoja zenye mantiki zinazotolewa na wapinzani zinaishia kwenye droo kisa tu ni mpinzan katoa hoja, wakt hoja za ovyo ovyo za kina kibajaji na msukuma ndio zinazopewa kipaumbele na wabunge wa ndio wakiongozwa na ndungai
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujumbe wake huu hapa chini kupitia twitter:
Wabunge wote mliopo Dodoma muwekwe karantini, mpimwe na mfuatiliwe ( contact tracing ). Minister Mwalimu there shall be no two set of laws - for MPs and for the people. Wabunge watengwe, wapimwe na wafuatiliwe. Tulishauri toka mwanzo kuwa Bunge lisiendelee na vikao. Ni hatari
Kwani haiwezekani kuendesha vikao vya Bunge online?